Dira ya mtanzania masaa 72 tumechoka

mgonjwa

JF-Expert Member
Dec 2, 2013
514
223
Wana JF,

Nilifanya interview na Msama promotion, wamiliki wa gazeti la dira ya mtanzania. Wakaniambia baada ya masaa 72 tutajulishwa kama ume pass usaili au la, utapigiwa ndani ya masaa 72. Lakini mpaka sasa ni zaidi ya wiki jamani kimya kuna mtu mwenye taarifa yoyote wadau
 
Mzee week tu? Ebu subiri subiri hadi week 3 hivi ndio walalamikie..
 
Back
Top Bottom