Dira ya mtanzania ajira ajira ...

mgonjwa

JF-Expert Member
Dec 2, 2013
514
223
Niko hapa tangu saa tatu kasoro kumi na tano interview ndo imeanza saa nne kamili hivi hawa waajiri wanadhani si hatuna mambo mengine ya kufanya yaani hapa sielewi elewi kabisa hawa jamaa wa dira ya mtanzania wametuambia interview saa tatu kamili da yaani very tired .....
 
pole sana.......ndio tanzania yetu ilivyo. kwenda ni muda ni tatizo kubwa.
cha muhimu we vumilia tu, huwezi jua labda hiyo ni nafasi yako.
 
Hii hatari sa sijui ni interviw gani ..picha inaanza wananisalimia kiswahili, sijaulizwa vyeti vyangu ..hawa jamaa vp interview yenyew daki 5 tu dah hapana jipangeni dira ya mtanzani
 
Mambo ya vyeti huwa inategemea na taasisi husika wanataka katika stage gani, kuna baadhi ya taasisis wanataka mwanzoni wengine mwishoni, nimeshawahi kuomba kazi DTB na kufanya interview ambayo ilikuwa na stage tatu, written, na oral mara mbili lakini sikuwahi kuulizwa juu ya vyeti vyangu katika stage zote tatu hizo
Hii hatari sa sijui ni interviw gani ..picha inaanza wananisalimia kiswahili, sijaulizwa vyeti vyangu ..hawa jamaa vp interview yenyew daki 5 tu dah hapana jipangeni dira ya mtanzani
 
Niko hapa tangu saa tatu kasoro kumi na tano interview ndo imeanza saa nne kamili hivi hawa waajiri wanadhani si hatuna mambo mengine ya kufanya yaani hapa sielewi elewi kabisa hawa jamaa wa dira ya mtanzania wametuambia interview saa tatu kamili da yaani very tired .....

Pole mgonjwa!
 
Last edited by a moderator:
Hii hatari sa sijui ni interviw gani ..picha inaanza wananisalimia kiswahili, sijaulizwa vyeti vyangu ..hawa jamaa vp interview yenyew daki 5 tu dah hapana jipangeni dira ya mtanzani

jamaa wanatumia hekima wanataka u- relax
 
Back
Top Bottom