Diplomatic passports za Tanzania zinatolewa kama njugu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Diplomatic passports za Tanzania zinatolewa kama njugu

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Don Draper, Aug 9, 2012.

 1. D

  Don Draper Senior Member

  #1
  Aug 9, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 176
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hivi mnaweza kuamini kuwa wabunge wote (inluding wale wa kuteuliwa ambao idadi yao inafika almost 150) wanatembea na pasi za kiplomasia?

  Lakini kilichonistajaabisha ni kuwa wabunge wa nchi zingine wanatembea na passports za kawaida tuuu

  Can you imagine mtu kama kepteni John Komba eti naye anatembea na diplomatic passport

  Hivi wizara husika kwa nini haitoi mwongozo wa mambo haya?
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Aug 9, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Source(s) please.

  Kama nchi gani hizo? Source(s) and example(s) please.

  Source(s) please

  Una uhakika hakuna muongozo?
   
 3. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #3
  Aug 9, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Guinea ukiwa mfanyakazi wa serikali tu unapata diplomatic passport!
  Kwanini inakuuma wabunge wakipata diplomatic passport?
   
 4. B

  BondJamesBond Member

  #4
  Aug 9, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sasa kipi cha kustajaabisha hapo?

  Kinje ana diplomatic passport ndio itakuwa huyo PRESHA INAPANDA, PRESHA INASHUKA

  Mie sikuhizi huwa hata sishangai nikisoma habari kama hizi

  sitoshangaa kama yule bosi (mYemen) wa Home Shopping Centre naye ana diplomatic passport na hasa baada ya kumwona Mange Kimambi anatumia VIP pale airport.

  hii ndio nchi ya kufikirika iliyokosa ADILI NA NDUGUZE
   
 5. Richard

  Richard JF-Expert Member

  #5
  Aug 9, 2012
  Joined: Oct 23, 2006
  Messages: 8,253
  Likes Received: 4,275
  Trophy Points: 280
  Mkuu,

  Miongozo ipo tena iliyoshiba tu na nafikiri watu wa Foreign Affairs wanaona hii.

  Diplomatic passport hutolewa kwa watu ambao husafiri mara kwa mara kwenda nje ya nchi kwa safari ambazo zinahusiana na shughuli za kiserikali wakiwemo wabunge.

  Pia kulingana na mazingira fulanifulani watu wengine ambao wanahusiana na hao unaowasema wanaweza kupatiwa passports hizo, watu kama ndugu wa karibu au familia.

  Ila ikumbukwe kwamba diplomatic psssport haisaidii kila mbebaji wake kupewa kinga (immunity) dhidi ya madai yoyote yake yahusianayo na uvunjwaji wa sheria.

  Wabebaji wa passports hizo wanaweza kuomba viza kabla ya kusafiri au kusafiri moja kwa moja na kupewa viza hizo mara wanapowasili katika nchi wenyeji.

  Kuna baadhi ya watu wanabeba passport mbili yaani ile ya kijani na ile nyeusi ya diplomatic nafikir hapo ndipo mwanya (loophole) wa kuchezewa passports hizi unapojitokeza kwani watu wanaweza kuwa wanaziuza hizi passports na mtu akitaka kufanya mambo yake ya ajabuajabu anakuwa akiwachanganya maofisa wa uhamiaji.

  Kuna watu wanauza pasi za kusafiria na hili ni kosa la jinai, endapo una taarifa zozote zitakazowezesha kupatikana kwa watu hawa una budi kutoa taarifa kwa vyombo husika.
   
 6. B

  BORGIAS Senior Member

  #6
  Aug 9, 2012
  Joined: Jun 3, 2012
  Messages: 126
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  sasa kama Mange kimambi naye ni VIP nyie mnashangaa nini?
   
 7. E

  EIGHTIESTHROWBACK JF-Expert Member

  #7
  Aug 16, 2017
  Joined: Aug 4, 2016
  Messages: 322
  Likes Received: 269
  Trophy Points: 80
  zirudishwe
   
Loading...