Lakasa chika7
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 454
- 1,264
Diplomasia imeshake, Waziri Mahiga very diplomatic person..sijui tatizo nini? Nadhani sectoral ministers wanamuangusha.
Wachina kupitia benki yao ya exm walisema watatupa mkopo wa trillion 17.5 kusaidia kujenga ya Reli ya kati. Nasikia siko sure ...eti wachina walitaka tender ya kujenga Reli ya kati wapewe wao. Kwenye mchujo wa tenda walioshinda ni waturuki. Wachina wakaweka mgomo chini kama hatupati tenda benki yetu haitoi pesa. Wakuu wakakomaa na wachina wakakomaa.Nadhani ni faida kuwa na Reli ya kati..kujenga nani siyo suala la msingi.
Now kuna changamoto pesa ya Reli ya kati hatuna..wachina wamegoma..waturuki ambao tumewaomba kwa kujenga km 400 hawawezi toa hata mia. Uturuki ni nchi ya uchumi wa kati hawawezi kutusaidia sana. Uturuki siyo giant country ni vinchi vipo ulaya mashariki hata GDP yao siyo strong km China au Western countries.
Beggars has no option. Tuyamalize na wachina. Urafiki na Strong country km China ,USA, western Europe ni mzuri kwa Nchi yetu.
Mzee JK aliwahi kusema ukitaka kula kubali kuliwa. Tuyamalize na mchina.
Tumenyimwa 4 trillion za MCC na USA. Kuna pesa pia ya ukarabati TPA/Uwanja wa ndege tumenyimwa,
Mhe. Magufuli, negotiation teams ya wizara ya Fedha/ uchukuzi/ Foreign waangaliwe kwa jicho la tatu. Je wapo capacity?? Negotiations siyo kukataa kila kitu au negative tu.
Sisi bado maskini ..Reli ya kati ingesaidia sana. Muda unao wa kufanya marekebisho. Natamani tuwe strong east African na baadhi ya Nchi za sadc tuwe mfano.
Beggar has no option.