Diploma za ZOOM POLYTECHINIC COLLAGE DAR zinatammbulika?

Rutunga M

JF-Expert Member
Mar 16, 2009
1,769
1,382
Nataka dogo asome kwa hawa jamaa Dipoma ya ICT hivi wako sawa au ndivyo vyuo vya mitaani
nimechukua fomu tayari wanasema sh 900,000 kwa mwaka

Kama kuna mtu amesoma hapo asaidie kwa hili.

website yao hii hapa
ZOOM Polytechnic College
 
kama wako registered na Nacte at least unaweza kuwafikiria
 
Mpeleke Techno-Brain New Horizon mnazi mmoja diploma mwaka mmoja tu dola 1500 hawa jamaa wamesajiliwa na NACTE full registration.
 
Kuna mwajiri anaangalia accredition ya NACTE kweli? Ni bora asome kisha atafute certs, za M$, Cisco, Computia etc.
 
Mpeleke Techno-Brain New Horizon mnazi mmoja diploma mwaka mmoja tu dola 1500 hawa jamaa wamesajiliwa na NACTE full registration.
hakuna diploma Tanzania ya mwaka mmoja,akitakla kuendelea na shule mfano kufanya degree itamsumbua sana!
 
hakuna diploma Tanzania ya mwaka mmoja,akitakla kuendelea na shule mfano kufanya degree itamsumbua sana!

hapa watu wanachoangaikia ni MAKARATASI wengine wanaita vyeti ! lakini kama ni kwa ajili ya ujuzi,uelewa nk hata miezi sita unaweza kuhitimu degree tu.Lakini kwa nchi za afrika tunathamini sana MAKARATASI yenye A,A+ Nk wakati kichwani hatuna kitu.
 
word! now your talking,huwa tumefundishwa kukariri sio kuelewa ndio maana mtu aliyesoma diploma ya computer ya mwaka mmoja ana uelewa zaidi kuliko wa computer kuliko aliesoma diploma ya miaka miwili hii inatokana na kuspecialize kwenye kitu anachosema kama ni networking basi ni hiyo hiyo networking na kama ni programming basi ni hiyo hiyo,sasa hizi diploma za kwetu huku yaani mnasoma mambo mengi sana yasiyokuwa na kichwa wala miguu ili mradi madaftari yajae,unakuta baadhi ya vyuo bado inafundisha wwindows 98 na mwanafunzi anakuta maswali kabisa kuhusu hiyo kitu,sasa tuje upande wa pili huyu mwanafunzi atakwenda kukutuna nayo wapi hiyo windows?
 
Back
Top Bottom