Diploma ya WDMI na BaED ya DUCE, Ipi potential kwa kitaa?

yohana mnaya

New Member
Nov 16, 2016
4
1
Wakuu nianze salamu habari zenu!!!

Kwa aliyesoma WDMI na yupo kazini au anayeifahamu vzur WDMI naomba anipe comparisons ya upotential wa diploma ya maji na BaED ya DUCE ipi jiwe na inatoa ajira na mishahara mizuri
##maoni tu
##via2017
 
mkuu edit post angu,mana hat hujaelewek...kwan WDMI ni chuo au course? Mbna,umeshndwa kueleza vema...afu kingne usizungumzie baed ya duce we sema baed tu,kw mana katka vyuo vyote hyo course ina jina moja na mshahar au level ni sawa.so hujaelewek kwamb unalinganisha chuo cha maji na course ya edctn...Kha
 
Ww acha kufananisha uhandisi na Wala vumbi la chaki kama unataka kuvaa smart tai ndefu,mchongoko na hela huna na unatembea wa mguu, nenda hio Baed, ila kama unataka kuvaa overall Huku upo kwenye gari yako wallet imevimba na ukitia mguu bar basi heshima nenda Wdmi
 
Daah hz diploma mnazosoma kwa *D* 4 za o*level? unajilinganisha na mtu ambae hajawahi kufel?? Kuanzia mwkn kwenda chuo kikuu lzm uwe na * C* ndo ujue thamn ya hyo baed.
 
Acha kulinganisha BAED na vitu vya kijinga!

BAED ya DUCE sio ya nchi hii kijana, isikie ivyo tu
Kwahyo Baed ya Duce ina salary scale yake tofauti na Baed ya Mwenge?
Ushauri wangu kwa mleta mada nenda WDMI kapige course ya maji haitakuangusha.
Kuna fursa za kujiongeza na mambo ya kusimamia miradi huko.
Diploma ya Uhandisi sio sawa Baed mkuu.
 
Daah hz diploma mnazosoma kwa *D* 4 za o*level? unajilinganisha na mtu ambae hajawahi kufel?? Kuanzia mwkn kwenda chuo kikuu lzm uwe na * C* ndo ujue thamn ya hyo baed.
Nani kakudanganya Diploma za uhandisi zinachukua D nne? Ww hujasikia mtu ana two au one haendi advance na anaenda technical college, Ualimu ni ualimu ni Ualimu tu ,Fundi tu alieajiliwa ngazi ya cheti unakuta ana mpoteza Mhitimu wa Baed ki salary
 
syo * D* 4 tu kuna wkt walikua wanatafuta hd ambao hawajafaulu msm ya sayansi wanawapa foundation course ukifaulu unapewa na ufadhili...bt km umeingia hapo hv krbn inawezekana usijue ht hilo.
 
Ukweli utbaki kua ukwel.
edute na engineering,
Utapata jibu ukiwa peke yako na bahasha yako mkononi mwako iliyo contain cv yako.
Maoni, kwa tz eng ya maji ina soko kulko engineering zote mpaka dk hii, coz inauhtaji wa watalamu wa sector iyo sehemu kubwa.
Mfano, dodoma now inapata maji kiasi cha 40elfu m³ per day lkn kiasi kinacho itajika kukizi mahtaj ni makadirio ya laki 2m³ per day.
DSM inapata around m³ 82elfu za ujazo per day kwa ss na mahtaji ya watumiaji sio chini ya laki1.5 m³ kwa mtambo wa ruvu juu ambao unagawa maji kuanzia pwani na baadhi ya dsm.note "maji yapo inchini ila yanapotelea baharini kwa kukosa wataalamu"
 
Nani kakudanganya Diploma za uhandisi zinachukua D nne? Ww hujasikia mtu ana two au one haendi advance na anaenda technical college, Ualimu ni ualimu ni Ualimu tu ,Fundi tu alieajiliwa ngazi ya cheti unakuta ana mpoteza Mhitimu wa Baed ki salary

nchi gani hiyo Mkuu?
 
Hahaha,mwalimu bwana eti BAED ya DUCE siyo ya nchi hii......mwalimu ni mwalimu tu mshahara wa mwalimu wa saut na wa duce ni uleule,sikushauri usomee ualimu wowote ule,utaumia kichwa tu na kudharaulika!
 
Wakuu nianze salamu habari zenu!!!

Kwa aliyesoma WDMI na yupo kazini au anayeifahamu vzur WDMI naomba anipe comparisons ya upotential wa diploma ya maji na BaED ya DUCE ipi jiwe na inatoa ajira na mishahara mizuri
##maoni tu
##via2017
Acha bange basi utalinganishaje diploma na degree?,hata aliyepata division 5 hawezi kuleta upupu kama huu
 
Back
Top Bottom