DINI ziko juu ya Sheria?

Emma M.

JF-Expert Member
May 15, 2009
204
6
Tafadhali nijuzeni kama dini ziko juu ya sheria au laa?
Mbona sijawahi kusikia dini imeshitakiwa mahakamani?
Sija sikia dini imefutwa.
Hili likoje wadau.
 
Tafadhali nijuzeni kama dini ziko juu ya sheria au laa?
Mbona sijawahi kusikia dini imeshitakiwa mahakamani?
Sija sikia dini imefutwa.
Hili likoje wadau.

Ni kivipi unamaanisha dini kufikishwa Mahakamani? Unamaanisha nini unaposema dini kufutwa?

We don't have laws that halt someones freedom of worship, inter-alia, we don't have laws that proscribes the government to embargo and/or impede a certain belief if that faith and/or belief is inhumane.
 
Tafadhali nijuzeni kama dini ziko juu ya sheria au laa?
Mbona sijawahi kusikia dini imeshitakiwa mahakamani?
Sija sikia dini imefutwa.
Hili likoje wadau.

Ukijieleza zaidi utasaidiwa.
Je kuna dini ungependa ifutwe?Kwa nini?
Je kuna dini ungependa kuifikisha mahakamani?
 
Tafadhali nijuzeni kama dini ziko juu ya sheria au laa?
Mbona sijawahi kusikia dini imeshitakiwa mahakamani?
Sija sikia dini imefutwa.
Hili likoje wadau.

Ujinga ni kitu mbaya

Unaweza kufutaje dini? unajua maana ya dini?

Jielimisheni dini maana yake kabla hujaleta hoja?
 
Definition ya dini please.

Religion; 1. an institution to express belief in a divine power
2. a strong belief in a supernatural power or powers that control human destiny

3. Mpango wa wanadamu kumtafuta Mungu au kitu wakiaminicho

Tafadhali nijuzeni kama dini ziko juu ya sheria au laa?
Mbona sijawahi kusikia dini imeshitakiwa mahakamani?
Sija sikia dini imefutwa.
Hili likoje wadau.

Angalia definition ya dini hapo juu, kitu kinachotegemewa katika society ni kuwa dini zinahimiza moral, we expect all positive and good things from religions,

Hakuna dini moja duniani, na kuna dini ambazo zinatokana na idea za watu walioamua kuamini hivyo vitu. Mathalan let say le anatokea mtu ambaye anasema kula nyama ya watu ndio kutoa sadaka, na huyo mtu akawa anaishi Tanzania! obviously this will shock everyone and will lead to court issues.Sasa anayeshtakiwa hapa sio dini ni mtu, akishtakiwa mtu hukumu ikitolewa kuwa hiyo dini ipigwe marufuku inapigwa marufuku!

so dini-watu huwezi kutenganisha, watu wana dini ila dini haina watu. Dini can only be live kwa sababu ya watu.

Below are lists of some religions surround our universe-just some!!

Other and related
Vedic Religions

Note: Yoga is not a religion, but rather a collective term for various spiritual practices and disciplines common to most branches of Hinduism.
Non-Vedic Religions of India

Religions of Far Eastern origin

Other Religions/Spiritual Cultivation

etc
 
Ujinga ni hali ya kutojua kitu.Kwa mfano mimi sijui kuendesha ndege kwa hiyo ktk fani hiyo mimi ni mjinga.Mfano mwingine ni elimu mtu asipokuwa na elimu ya kusoma ni mjinga ktk nyanja hiyo na sio zingine maana naye aweza kuwa mwelevu ktk fani nyingine kama kuvua samaki, kucheza mpira n.k.
 
Tafadhali nijuzeni kama dini ziko juu ya sheria au laa?
Mbona sijawahi kusikia dini imeshitakiwa mahakamani?
Sija sikia dini imefutwa.
Hili likoje wadau.

1.Ni sahihi Dini ziko juu ya sheria, kwa sababu hakuna sheria yeyote duniani inayoweza kutungwa bila kuzingatia dini ya mahali hapo.
Kama mahalihapo pana wakristo wote basi na sheria itatungwa kulingana nao na kama mahali hapo pana waislam halikadhalika sheria itakuwa ya jamii hiyo n.k.

2.Dini haiwezi kushitakiwa kwa sababu ni Imani, anayeweza kushitakiwa ni mtu anayetetea hiyo imani. Dini is something which exist on it's own kwa hiyo huwezi kusema dini hii hapa mpaka uone mkusanyiko wa watu fulani.Kwa hiyo Dini kama Dini huwezi kuishitaki.

3.Kama jibu la pili lilivyo huwezi kufuta Dini kwa sababu dini hukaa ndani ya mtu si kitu unachoweza kukiona. Unaweza kufuta mkusanyiko wa watu wa Dini fulani na Dini hiyo bado ikaendelea kuwepo ndani ya watu hao.
 
Religion; 1. an institution to express belief in a divine power
2. a strong belief in a supernatural power or powers that control human destiny

3. Mpango wa wanadamu kumtafuta Mungu au kitu wakiaminicho

Angalia definition ya dini hapo juu, kitu kinachotegemewa katika society ni kuwa dini zinahimiza moral, we expect all positive and good things from religions,

Hakuna dini moja duniani, na kuna dini ambazo zinatokana na idea za watu walioamua kuamini hivyo vitu. Mathalan let say le anatokea mtu ambaye anasema kula nyama ya watu ndio kutoa sadaka, na huyo mtu akawa anaishi Tanzania! obviously this will shock everyone and will lead to court issues.Sasa anayeshtakiwa hapa sio dini ni mtu, akishtakiwa mtu hukumu ikitolewa kuwa hiyo dini ipigwe marufuku inapigwa marufuku!

so dini-watu huwezi kutenganisha, watu wana dini ila dini haina watu. Dini can only be live kwa sababu ya watu.

Below are lists of some religions surround our universe-just some!!

Other and related
Vedic Religions

Note: Yoga is not a religion, but rather a collective term for various spiritual practices and disciplines common to most branches of Hinduism.
Non-Vedic Religions of India

Religions of Far Eastern origin

Other Religions/Spiritual Cultivation

etc

Mkuu Weboroya kwa manufaa ya wengine; hakuna Orthodox BAHA'I FAITH.

otherwise tank you for this very useful post
 
Definition ya dini please.
RELIGION
A set of beliefs concerning the cause, nature, and purpose of the universe, especially when considered as the creation of a superhuman agency or agencies, usually involving devotional and ritual observances, and often containing a moral code governing the conduct of human affairs.
 
Back
Top Bottom