Dini ya Uislam iliwezaje kuenea kwa wingi "Sub Saharan Africa" ilhali waarabu hawakuwa na makoloni huko? Ni biashara pekee ama kuna njia nyingine?

Walitumia biashara ya utumwa.na pembe za ndovu kueneza uislam ukiwa muislam hukamatwi utumwa. Afterall ukoloni siyo njia pekee ya kueneza dini ya mtu. Waarabu ndiyo wakoloni na mabeberu wa muda mrefu Afrika kuliko wazungu, hapo Zanzibar kabla ya mapinduzi kiongozi wa visiwa alikuwa mbantu au mwarabu? Mwarabu masultani toka Oman wakoloni tu kama wazungu. Wajamaica hawakuwa na makoloni Africa lakini dini ya urastafari imeenea toka Mwakaleli Mbeya hadi Kibosho Moshi.
Asante sana kwa maelezo
 
ushaidi upi? miaka hio caravan routes lazima maama uasafiri ulikuwa wa wanyama ngamia wanakatiza jangwa kwa jangwa.wewe umesoma historia kuwa prophet alikua anafanya beshara ni kweli na njia ni hio hio ilikuwa misafara hakuna njia nyingine.mpka alivofika basra ilipo iraki akakutana na padri aliyeona dalil na alama zote za mtume yuleee wa mwisho aliyekuwa akisubiriwa na walokuwa wakijua jambo hili na jewish.padri yule kwa kujua roho za wahayuhd akamfadhilisha sana mjonba wake amrudishe huyu kijana maana ilikua maaajbu tu wingu linaenda sambamba na kichwa chake jua halimpati in short miujiza sana.
kuhusu kuvamia misafara mkuu ni kweli historia ipo ila nadhan umeilewa vibaya .
waliteka msafara mmoja in specific kulipiza kisas cha wao pia kutekwa na wala wakawa hawakuupata msafara wenyewe ila vikafumuka vita eneo la badr askar 300 kwa jesh zaid ya maelfu na waislam walishinda.usipindishe pundishe haina haja huwez kufaulu leo,jana wlaa kesho ila iseme kama ilivyo sawa.
Mh! Kusadikika
 
sasa namimi ndo nashangaa watu wanavolikuza na kuniita mzushi natafuta chokochoko sijielewi etc.
Wakati kitu kidogo tu na ni fact tena isiyo hata ya aibu sasa zile za aibu si nitatukaniwa mama kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe umesema alikuwa akiitwa Al amini = muaminifu.

Hatujakataa kama hajafanya biashara lkn mfanyabiashara gani aitwe muaminifu halafu avamie misafara na kupora kama ulivosema.
 
Walitumia biashara ya utumwa.na pembe za ndovu kueneza uislam ukiwa muislam hukamatwi utumwa. Afterall ukoloni siyo njia pekee ya kueneza dini ya mtu. Waarabu ndiyo wakoloni na mabeberu wa muda mrefu Afrika kuliko wazungu, hapo Zanzibar kabla ya mapinduzi kiongozi wa visiwa alikuwa mbantu au mwarabu? Mwarabu masultani toka Oman wakoloni tu kama wazungu. Wajamaica hawakuwa na makoloni Africa lakini dini ya urastafari imeenea toka Mwakaleli Mbeya hadi Kibosho Moshi.
Umesoma vizuri historia ya waarabu Zanzibar au umejisikia tu kuchangia mjadala
 
Wamesema hawaijui?au wewe tu ndo ignorance yako?
Acha kujiabisha na kunipotezea muda.
Tena ukiifatilia hii hadith utagundua mtume alinunua mtumwa mmoja kwa watumwa weusi wawili meaning mweusi thamani yake ndogo.
Hata kichwa cha habari cha hadith kinaonesha kuwa wanyama wanatofautiana quality na mnyama(binadamu mweusi,Muafrika)Thamani yake ni ndogo

Sahih Muslim 1602 book 22 hadith 152

Chapter23: The permissibility of selling animals for animals of the same kind and of different quality

"
There came a slave and pledg- ed allegiance to Allah's Apostle (ﷺ) on migration; he (the Holy Prophet) did not know that he was a slave. Then there came his master and demanded him back, whereupon Allah's Apostle (ﷺ) said: Sell him to me. And he bought him for two black slaves, and he did not afterwards take allegiance from anyone until he had asked him whether he was a slave (or a free man)"

Sasa mkuu acha uvivu,fanya research maana kwa style hii hata nikiweka aya ya Quran utaikataa kama huitambui na haitakusaidia chochote na wala haibadilishi yaliyoandikwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tukubali aliwanunua ikisha ikawaje? Aliwatumikisha?
Hii hadithi ilikuja kwa mnasaba gani? Maana ninachojua hadithi huhadithia jambo.
 
The p in Islam stands for 'peace'
Wewe jamaa unaonekana una chuki na waarabu tu. Lkn hujui kama hao waarabu ndio waliokuleteeni vitambaa huko kijijini kwenu na hawakumshurutisha hata mtu mmoja asilimu.
Lkn wamishionari walikuwepo kwa miaka mingapi na walikubatizeni mfuate dini yao huku wakikuacheni na mavazi ya ngozi za wanyama.

Ameeleza hapo Hammaz mbona huweka neno umeshikilia Muhammad alikuwa mfanyabiashara kwani nani alikuwa hajui hilo.
 
Hiyo ni pure fact na kuiongelea hapa itazidi kuwakasirisha watu maana inaingia upande wa dini(Hata ukisoma quran wanachukia)......anyway inahusiana na mada kwasababu nlikuwa najaribu kuonesha kuwa Muhammad alikuwa na influence kwenye biashara kabla, hata baada ya kuwa mtume.So alivyoivamia na kuitawala Mecca lazima biashara ya Caravan iliendelea lakini this time ilikuwa inatawaliwa na waislam so hata North Africa Biashara ilifika ikitawaliwa na waislam.
Point of correction,Mtume Muhammad saw,aliikomboa mecca iliyokuwa chini ya utawala wa kikurayshi(washirikina)waliokuwa wanaabudu masanamu.
 
Unanicorrect kitu ambacho hata sijakiongelea...Anyways naomba kujua Kabila la Muhammad
Plot twist:Hao wapagani waliperform Tawaf na kuzunguka Al marwa na al Safa mara 7 maana waliamini kuna Sayari 7 na miungu 7 inazunguka dunia...Muhammad Kaja akawaiga akaiga na kufunga Ramadan Akaiga na Kaaba ya wapagani akaitwist iwe ya kiislam.

Mwanzoni hakuikubali kaaba na aliorder watu kibla iwe Jerusalem lakini wayahudi walipomkataa mtume akageuza kibla ikawa kaaba la wapagani mpaka leo.
 
Wewe umesema alikuwa akiitwa Al amini = muaminifu.

Hatujakataa kama hajafanya biashara lkn mfanyabiashara gani aitwe muaminifu halafu avamie misafara na kupora kama ulivosema.
Alipora baada ya kupata Jeshi...Al amini kipindi icho alikuwa ndezi tu anatumwa tumwa
 
Njia kuu zilikuwa ni biashara pamoja na utawala na ilikuwa ukizingua kuwa arabized/islamized kirahisi; na ukang'ang'ania "ukafiri" wako basi walikuwa wanatumia maguvu tu - upanga! Waliichakaza karibu Ulaya nzima wakati wa Ottoman Empire na isingekuwa Jangwa la Sahara hata Sub Saharan Africa huku tungekuwa tunaongea Kiarabu tu
View attachment 1639502
Nani alimfunga breki Ottoman kiasi cha kuanguka!?
 
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums.

Ndugu zangu watanzania;

Dini ya Uislam iliwezaje kuenea kwa wingi "Sub Saharan Africa" ilhali waarabu hawakuwa na makoloni huku? Ni kupitia biashara pekee ama kuna njia nyingine za ziada zilitumika?

Orodha ifuatayo ni baadhi tu ya nchi zilizopo katika eneo hilo la "Sub-Saharan Africa";

Angola, Benin, Botswana, Burkina Faso, Burundi, Cameroon, Central African Republic, Chad, Congo, Cote d'Ivoire, Eritrea, Namibia, Niger, Nigeria, Rwanda, Senegal, Sierra Leone, Somalia, South Africa pamoja na Tanzania.

View attachment 1639303

Ninaomba kuanza kwa kusema kwamba, kwa msio nifahamu mimi Infantry Soldier ni mkristo mkatoliki ila ninafahamu fika ya kuwa dini ya uislamu ni dini safi sana tena ya watu waungwana kweli inayohubiri amani na upendo kama ilivyo dini ya kikristo. I love and respect all my muslim brothers and sisters out there.

KWA UFUPI KUHUSU UKOLONI NA KUENEA KWA UKRISTO BARANI AFRIKA
=====
Ushahidi wa kihistoria unaonyesha ya kuwa Waafrika walikuwa na mila nyingi za kitamaduni na kidini ambazo zilichangia pakubwa katika kuenea kwa haraka kwa dini ya Ukristo katika bara letu.

Wamishionari wa Magharibi waliamua kukataa au kuweka pembeni mila hizi, ambazo ilikuwa msingi wa imani zetu tangu zamani. Mifumo hii ya msingi ya mila na tamaduni ya Waafrika ilitoa msingi thabiti ambao Ukristo ulifikishwa (kwa kiingereza changu kibovu ninaweza kusema upon which Christianity was conceived), kueleweka na kupokelewa.

View attachment 1639304

Hata hivyo, wamishionari wengine walijaribu kuaminisha watu kwamba hakuna mila na wala tamaduni za urithi kama huo wa kidini uliokuwepo kabla ya kuwasili kwao katika bara la Afrika miaka hiiiyoooo ya zamani.

Ukristo na ukoloni mara nyingi huhusishwa kwa karibu kwa sababu Uprotestanti (wasabato, anglikana, Lutheran) na Ukatoliki walishiriki kama dini za serikali/kidola za mamlaka ya kikoloni ya Ulaya na kwa njia nyingi zilitumika kama "matawi ya udini" ya tawala hizo za kikoloni.

Wakati Wazungu walipokuja kuitawala Afrika, hawakufanya hivyo tu kwa nguvu waliyoitumia dhidi ya Waafrika. Hapana. Ukoloni ulifanywa vema pia kwa matumizi ya dini, na haswa Ukristo na ndio maana mpaka sasa, Waafrika wengi hujitambulisha kama Wakristo.

View attachment 1639306

Inaonekana dini imetumika zaidi kuathiri utambulisho wa mtu mweusi barani Afrika. Dini za jadi za Kiafrika zimetupiliwa mbali na zinaonekana kama za kipagani na za kishamba kwa asili.

Wakati kila mtu anastahili kuwa imani katika dini yake, ni dini hiyo hiyo ambayo imetumika kuvuruga historia ya Afrika haswa na ujio wa ubeberu na ukoloni ambao umejengwa juu yake.

Dini zilifanikisha jambo moja kubwa sana barani Afrika: kuwafundisha Waafrika weusi kuachana na mila zao zote na kuwezesha kuenea kwa tawala za kikoloni.

SWALI KUU: Dini ya Uislam iliwezaje kuenea kwa wingi "Sub Saharan Africa" ilhali waarabu hawakuwa na makoloni huko? Ni kupitia biashara pekee ama kuna njia nyingine ya ziada ilitumika?

View attachment 1639305

USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Baada ya kifo cha Muhammad mwanzoni mwa 630s CE hapo ndo wale majemedari waloachwa walianza kuutanua uislam nje ya mipaka ya uarabuni na kufikia africa ya kaskazin (misri, Libya(Cyrenaica),Tunisia (carthage), Algeria,morroco(Maghreb) na kuteremka kusini mpka Sudan (Nubia), na Kush (Eritrea na Ethiopia).
Kwa sub-sahara Africa uislam ulienea kwa njia zifuatazo.
1:BIASHARA
baada ya kuiteka africa ya kaskazin , kuna misafara ya biashara ilikuwepo kutoka falme za waafrica wa kusin mwa jangwa la sahara (mfano Ghana,Mali na Songhay) ambapo waarabu walikuwa wanapata bidhaa kama chumvi na madini, ngoz za wanyama, meno ya tembo etc. Na kupeleka uarabuni, walijenga misikiti kwenye maeneo mengi na kuwa silimisha wafalme na kupelekea raia nao kusilim.

Huku africa mashariki: Uislam ulifika mapema sana mwanzoni mwa karne ya 8 CE ambapo wafanyabiashara wa kiarabu na kiajemi walifika ufukwe wa pwani ya A.masharik, walijenga misikiti taratib na kusilimisha watu . Licha ya kwamba uislam uliingia Africa mashariki toka karne ya 8CE, ila uliendelea kubaki maeneo ya pwani tuu kwa zaidi ya karne 11 mpaka 1840 ambapo zanzibar ilipokuwa Soko kuu la Biashara ndipo uislam ukaanza kupenya ndani (interior) ya Africa mashariki kutokana na misafara ya biashara (trade routes) iliyokuwepo kama vile Kusini (pwani, lindi, mtwara,ruvuma mpk malawi),kati: bagamoyo, morogoro,dodoma, singida, tabora, kigoma) na Kaskazini: Tanga, k'njaro, mpk kenya. NB: hizi misafara sio kwamba zilkuwa zinapita mkoa mzima, ni baadh tu ya maeneo.

2:VITA VITAKATIFU (JIHAD)
hasa hasa kule Africa magharib kwa leo hii maeneo yalopiganwa vita hivyo ni nchi kama Nigeria, Senegal, Gambia, Mali,Niger. Na watu mashuhuri waloongoza vita hivyo ni Othman Dan Fodio, Al hadj Umar na wengineo. Jamii nyingi zilijikuta zinaacha dini za asili(kumbuka ukristo wakat huo haukuwepo ktk jamii hizo) na kusilim mfano Wahausa. Vita hivi vilianza mwishoni mwa karne ya 18 na mwanzon mwa karne ya 19

3:MAFUNDISHO YA UISLAM
baada ya watu kusilim, hao hao waligeuka kuwa chachu ya kufundisha wenzao. Yaan walim waliendelea kutoa elimu ya kiislam kwa wenzao na kuwashawish wasilim. Unadhifu pia ulichangia uislam kuenea kwa kasi , kwakuwa watu walijiona fahari sana kuvaa KANZU.
Yapo mengi ya kuelezea ila hayo machache yanatosha!!
 
Asante sana mkuu kwa ufafanuzi wako wa kina na wenye kubeba maana kubwa kwangu na kwa wasomaji wengine.
 
Hapo zanzibar umeishia kusema soko kuu, Sema hivi soko kuu la watumwa unavyotaka kuwatetea mabwana zako wa kiarabu unaona aibu kusema ukweli kuwa Wali kuwa wanauza waafrika japo wanajikuta dini ni yao
 
Back
Top Bottom