Msonjo
JF-Expert Member
- Oct 13, 2019
- 1,308
- 2,224
Halafu kilichopo ni kwamba wewe ni tabia yako, yaani wakati mwingine unakuta hata mada haihusiani na masulala ya dini ila wewe utaleta tu chokochoko.Ndugu zanguni Samahani kama ninawakwaza mkisikia jina muhammad..lakini hapa sio msikitini na wote tupo kwa ajili ya kujifunza So napomtaja Muhammad(saw) Simtaji kama nabii au religional figure bali namtaja kama historical figure..na ndiyo muktadha wa hii mada.
Nashangaa mnakasirika kusikia Muhammad alikuwa trader kuliko kusikia alivamia traders.
Furthermore kama hamjui Hata mke wake wa kwanza Bi Khadija(aliyemzidi miaka 15) alikuwa boss wake kwenye biashara ya trade.Bi khadija alimuajiri Muhammad kwasababu alisikia story zake kuwa ni muaminifu na alipewa nickname "Al-amin" baadae Muhammad akaongeza ukaribu akamuoa.
Muhammad alisafiri nchi mbalimbali(Syria,Yemen etc.) na ngamia akiuza na kununua bidhaa(ikiwemo watumwa).
Anko wake Muhammad,Abu Talib ndio alimuingiza kwenye biashara akiwa na umri mdogo kabisa(12yrs) na maisha yake mengi alikuwa trader kuliko nabii.Kwani nyie huwa mnadhani kabla hajawa nabii akiwa na miaka 40 alikuwa anafanya kazi gani?
Muhammad years as a trader-25 years
Muhammad as a prophet-23years
For references Check this article
For further reading
Afriza Hanifa,27 April 2013,Prophet(Rasulullah SAW) A True Entrepreneur[online]
Available at http://warwir.com/forumj/printthread.php?tid=1376
Ryan Novrian,31 January 2009,Concept Of Islamic Business Ethics[online]
Available at
The Concept of Islamic Business Ethics
Islam is a source of value and ethics in everything human life aspect wholly, including discourse of business. Business and trading includin...ryanpicsestsest.blogspot.com
Dr. Muzammil H. Siddiqi,17 December 2004,Religion[online]
Available at Religion
Sidmskhan,20 May 2012,Summary of Seerah[online]
Available at
Amanullah,15 January 2012,Manhood of Prophet Muhammad PBUH[online]
Available at
Majelis Ilm, 27 July 2011, 11 Principles for Islamic Living (4) Sunnah. Follow the Model of
Prophet Muhammad (PBUH)[online]
Available at
sunnath-follow-the-model-of-prophet-muhammad-pbuh11 PRINCIPLES FOR SUCCESSFULL ISLAMIC LIVING ~ (4) SUNNATH : Follow the Model of Prophet Muhammad (PBUH)
The Prophet Mohammed (PBUH), is the final Messenger of God sent to deliver His Message to the entire humanity. He was a model for all humanity. Human beings try to imitate the model of someone whom…deenoverduniya.wordpress.com
Ahmad Afiq Al-Kelantani,20 Januari 2013,Contohilah Akhlak Rasulullah S.A.W Ketika
Berniaga[online]
Available at
CONTOHILAH AKHLAK RASULULLAH S.A.W KETIKA BERNIAGA (1)
1. Keuntungan Adalah Sasaran yang kedua Seseorang peniaga muslim itu, sewajarnya tidak menjadikan keuntungan sebagai sasaran utama per...tintasufi313.blogspot.com
Dr. Sabahuddin Azmi,2010,An Islamic Approach To Business Ethics[online]
Available at http://www.renaissance.com.pk/Mayviewpoint2y5.htm
Rosli Baharuddin,2012,3 Akhlak Menjual Cara Rasulullah[online]
Available at http://www.majalahniaga.com/3-akhlak-menjual-cara-rasulullah.html
Zahid Isa (2010), TPR - Tips Pemasaran Rasulullah Sesuai Untuk Peniaga Online &
Offline.[online]
Available at http://www.wangcyber.com/forum/archive/t-36252.html
Na ndicho alichokwambia mdau hapo juu.