HUNIJUI SIKUJUI
JF-Expert Member
- Apr 4, 2015
- 1,335
- 1,546
Habari zenu wakuu
Scientology is a body of beliefs and practices created in 1954 by American science fiction author L. Ron Hubbard (1911–86). After he developed Dianetics, the Dianetics Foundation entered bankruptcy and Hubbard lost the rights to his seminal publication Dianetics: The Modern Science of Mental Health in 1952
Nimesoma kitabu kinachoitwa "beyond belief" kikiwa kimeandikwa na JENNA MISCAVIAGE.
Kitabu hiki kinasimulia maisha watu waishio ndani ya dini hii..msingi wa dini hii ni kwamba "binadamu amegawanyika katika roho,mwili na akili,baada ya binadamu kufa roho yake huchukua mwili mwingine na kuendelea kuishi milele japokua mwili tu ndo hubadilika pale roho inapochukua mwili mwingine"....kwa maana hiyo kwa msingi wa imani hiyo binadamu wote tuna "past lives" ambazo zinaweza kukumbukwa kwa msaada wa scientology,hii ni kwa mujibu wa dini hii.Dini hii ilianzishwa huko marekani na L. Ron Hubbard mwaka 1954
TOM CRUISE na JOHN TRAVOLTA ni watu mashuhuri wanaoiamini dini hii
sasa najiuliza hii dini hapa TZ ipo???
kwa wanaoifahamu na waamini kama mpo mnaizungumziaje??