Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,632
- 697,794
- Thread starter
- #81
Bado hesabu yake kwa kificho ama kwa uwazi haiwezi kufikia wahanga wa dini hata kwa theluthi mojaSawa,ni sehemu ya unyama unaofanywa na wachawi. Je unaweza kujua usiku wa leo wachawi wamewaua watoto na watu wazima wangapi? Kuna mimba elfu kadhaa zimeharibika kwa sababu ya uchawi,kuna watoto,watu wazima na wazee kibao wameuliwa na wachawi kupitia magonjwa ya kutengenezwa.
Kuna ajali za barabarani,majini na angani. Kote huko mamia kwa maelfu ya watu wamechukuliwa kichawi kwa ajali za kutengeneza. Tatizo ya wachawi mambo yao ni ya gizani sana ndio maana tunaona km wana unafuu.