Dini ni nzuri ila kuna muda ni mbaya kwa wenye ndoa na wapenzi

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,713
Kulingana na imani yangu nilyozaliwa nayo kama mkristo!

Kuna vituko navisikia na ulijali nimeona sio kusimuliwa wala kusikia .

Hawa wanaojifanya ukimtongoza au kutumia kivuli cha dini kumuona mwema au mtu bora ijalishi ME au KE.

Nitapenda kuzungumzia kwa sisi wanaume kasumba zinazo tukumba kwa hii mitiani ya wanaweke wanaotumia kivuli cha dini.

Asilimia kubwa wametendwa sana,wengine ufanya hivi huku wakificha wanacho kifahamu ili kuingia kwenye mahusiano au ndoa.

Ndoa nyingi sizungumzii jinsia fulani bali ukitaka kujua kutalakiana nenda RITA uombe sababu na historia zao.
 
Shida ni wanadamu mkuu

Dini hazina shida kabisaaa ila sisi wa kujiita waKristo au waIslam ni tatizo
 
Unaenda kutafuta Mke au Mume kanisani? Hapo ni mahala pa kumtafuta Mungu kwanza hayo mengine yatajiseti yenyewe, tumeshaambiwa tafuteni ufalme wa Mungu kwanza.
 
Umekataliwa na mlokole umekuja kuanzisha uzi. Ushindwe na ulegee.

nakueleza walivyo weakness mpaka utakimbia wewe.

kama unatoa povu nenda mwenyewe kwenye ibada zao.

mwambie mchungaji nimekuja kutafuta mke au mchungaji mwambie wanawake toka mbeleni bado mjapata wanaume waombewe uone rundo la waumini
 
ukienda misikitini kutaka mke wanakuja kama wote
 
Mke wa kuoa anapatikana hata baa mahali ambapo pamedharauliwa kuwa hapatikani mke bora, sio kwenye nyumba za ibada tu hata barabarani wapo wanawake wazuri kuoa
 
Back
Top Bottom