Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 36,569
- 44,223
Katika kuwasikiliza, kuwasoma na kujadiliana sana na Atheists nimegundua wengi wana uwezo mkubwa sana ya kujenga hoja kwa mantiki sahihi, kufanya tathmini na kufikia hitimisho la jambo kwa "logical reasoning" kwa usahihi.
Wengi wao(karibia 99%) huwa hawapendi kujadili jambo lolote kwa hisia au bila uthbitisho mzuri. Kila mara watazungumzia jambo kwa uthbitisho wa facts au sayansi, na hii sio kwenye masuala dini tu bali hata katika mambo mengine kama siasa, uchumi n.k.
Pia ni nadra kumkuta Atheist au mtu asiyehusudu dini anaamini conspiracy theories au story za kupikwa za uongo uongo ambazo huzuka na kusambaa mitandaoni kwa kipindi fulani.
Je, kuna mahusiano yoyote kati ya uwezo wa akili kufikiri na imani ya mtu katika maisha kwa ujumla?