pakamwam
JF-Expert Member
- May 28, 2013
- 516
- 653
jamani watu wamekuwa wakichanganya mafaili sana kwenye hili
ukiolewa kikristo ninachojua mwanaume ni kichwa cha famili. hapa hakuna mjadala. BIblia inamwagiza mwanamke kumtii mume wake na inamalizia kwa kusema utii ni bora kuliko mafuta ya beberu. enzi hizo mafuta ya beberu yalitumika kutawaza wafalme. kumbe utii ni bora kuliko ufalme. wanawake na wadada mnao waiga wamama wa beijing ambo wengi walikosa upendo kwenye ndoa na wakaanza kudai haki sijui zipi hizo.
kwa maana hii mwanamke hana haki zaidi ya hii moja. haki yake ni kupendwa tu. pia adhabu aliyopewa mwanamke na Mungu na kuzaa kwa uchungu na kuwa na wivu siku zote juu ya mume wake, ( wanaume hatuhitaji kuwapa adhabu wanawake zaidi ya hizi, adhabu yetu ni kuwapenda mpaka basi) upendo una vitu vingi sana.ukikosea kujua upendo wa mwanaume kwako pia ujifunze kuishi na makosa uliyoyafanya kuchagua, na kama wewe ni mkristo, ndoa ni kufa na kuzikana isipokuwa kwa uzinzi
pia hakuna cha usawa wala haki sawa kwa waislam, kila mtu ana majukumu yake na nafasi yake lakini mwanamke hawi zaidi ya mwanaume. utaratibu huu ndio ulio saidia ndoa za
wazee wetu kudumu kwa muda mrefu sana
angalia leo tulikofika, tulianza kugeuza maandiko matakatifu kwa kuweka usawa usio na maana, wakashindwa kuishia hapo wakadai usawa wa kuoa wana wake wenzao na wanaume hawakubaki nyuma wakaanza kudai usawa wa kuolewa na wanaume wenzao, miaka 50 ijayo wanaweza kuanza kudai usawa wa kuolewa au kuoa wanyama
hawa walio leta usawa wamefikia hatua ya kuamini Mungu hayupo na ndio maana ndoa zao asilimia 70 ni za bomani. wemekengeuka kuwazidi wanyama na kuabadili asili ya uumbaji na hata wanyama wamewazidi. hata siku moja jogoo hampandi jogoo mwenzake. hata ng'ombe hampandi dume mwenzake. tumekuwaje sisi wanadamu?
haya yote yanatokea kwa sababu tumeacha misingi yetu ya kwanza( old basics). wanawake, acheni hizi mambo za haki sawa, baadala yake jitahidini kwa hali na mali kutafuta upendo wa kweli kwa wanaume. wengi wanaodai haki sawa utakuta wameachika mara nyingi au wamekosa upendo kwenye ndoa.
pia ukitaka ukitaka usawa lazima ujue ndoa yako ni ya bomani na si ya kidini. ukifunga ndoa ya kidini haina mambo hayooo.
pia naamini kuwa mafahari wawili hawakai pamoja, lazima wapigane mpaka apatikane kidume, kidume wa nyumba ni baba sasa wewe mama unayetaka ndio utoe kibesi unatokea wapiiii
mtazamoo huo jamani let us go back to the basics