Dimpoz na mwanya ni ulemavu unaopendwa sana

MC44

JF-Expert Member
Mar 1, 2019
2,170
3,269
DIMPLES hutokana na mapungufu katika utengenezwaji wa misuli ya uso inayoitwa zygomaticus major.Hali hii husababisha kujivuta kwa ngozi na misuli ya uso wakati wa kutabasamu,kucheka au kuonesha furaha hivyo kutengeneza mashimo usoni.

Dimples ni ulemavu

Nitarudi kuelezea mwanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ulemavu unapendwa na wavaa skirt....ukiona wewe unavaa suruali na unapenda kuwa na huo ulemavu utakuwa na upungufu mahali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom