Benchi la ufundi nalo lina mbinu za hovyo kabisa. Una mtaji wa goli mbili za ugenini tayari halafu unaacha timu icheze "open game" kiasi kile unategemea nini? Cha kuchekesha zaidi bado tena wakapata na goli lingine la tatu hapa lakini bado benchi la ufundi halikutaka kufunga mahesabu mapema lizuie halafu lishambulie kwa kushtukiza. Kweli sikio la kufa halisikii dawa.
Anyway labda Mungu ameamua kuikoa Simba na aibu ambayo wangekutana nayo mwaka huu kwenye "Champions League". Kwa aina ya mchezo waliocheza leo halafu ndio wakutane na Mamelodi au Al Haly wapo "on fire" hakika ingerudi zile zama za tano tano.