Dili za Mtandaoni/Online deals(special threads)

Tomaa Mireni

JF-Expert Member
Sep 8, 2015
2,328
2,282
Lengo la uzi huu ni kupeana dili mbalimbali za kimtandao ili kupunguza angalau ukali wa maisha....

LENGO NI...

1. Kupata referrals
2. Kujifunza zaidi
3. Kufundishana zaidi
4. Kupeana njia za kutusua zaidi.
5.Kulegeza hivi vyuma

Karibu weka dili lako mezani,weka na picha ya kuthibitisha malipo tuone yaliyomo yamooo...
Itapendekeza kama utauja na screenshot original ya payment ili kuaminisha wadau zaidi...
Asanteni karibuni jamvini..

Motto:: LETA KAZI HAPA,UMBEYA/MAJUNGU PELEKA KWENYE UZI WAKO
 
Payment received kitoka Streetbees
Screenshot_2019-01-01-00-13-58.jpeg
 
Lengo la uzi huu ni kupeana dili mbalimbali za kimtandao ili kupunguza angalau ukali wa maisha....

LENGO NI...

1. Kupata referrals
2. Kujifunza zaidi
3. Kufundishana zaidi
4. Kupeana njia za kutusua zaidi.
5.Kulegeza hivi vyuma

Karibu weka dili lako mezani,weka na picha ya kuthibitisha malipo tuone yaliyomo yamooo...
Itapendekeza kama utauja na screenshot original ya payment ili kuaminisha wadau zaidi...
Asanteni karibuni jamvini..

Motto:: LETA KAZI HAPA,UMBEYA/MAJUNGU PELEKA KWENYE UZI WAKO
Mkuu anza na kuweka screenshots zenye ushahidi wa line za safaricom unazouza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
6A291XKZANR Imethibitishwa.Umepokea Tsh9,240.00 kutoka 273377 - SEGOVIA TECHNOLOGY tarehe 2/1/19 saa 9:20 AM Salio lako ni M-Pesa ni Tsh14,435.96.
Screenshot_2019-01-02-23-00-18.jpeg
 
Mkuu picha kama hazionekani, dili gani hilo
Picha ya kwanza ni malipo niliyopokoa kupitia payoneer kutoka makampuni mabalimbali kama appen, kentar, meelan picha ya pili ni malipo niliyopokea kutokana na kazi za freelancing freelancers.com, malipo ya tatu ni malipo niliyopokea kupitia paypal kutokana na kuongelea masuala ya artificial intelligence huko perks.com. Zote ni kazi amabzo zinajirudia yani nazifanya kila mwezi
 
Back
Top Bottom