Dili la tiketi za bei ya chini kabisa kutoka Fastjet kwa mwezi Septemba 2016


Magazetini

Magazetini

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Messages
557
Likes
374
Points
80
Magazetini

Magazetini

JF-Expert Member
Joined Aug 16, 2014
557 374 80
Wakati wa kufanya maandalizi yako ya safari kwa kusafiri mwezi Septemba umefika! Usichelewe kuna jumla ya siti 21,000 kwa bei za chini kabisa kuelekea sehemu mbalimbali ndani na nje ya nchi.

Unaweza kusafiri kwaajili ya biashara, mapumziko au kutembelea ndugu, jamaa na marafiki kwa kununua tiketi yako sasa.

Unangoja nini fanya maandalizi ya safari yako sasa kwa kununua tiketi yako mapema ili ujihakikishie kupata bei ya chini kabisa. Kumbuka kwamba tiketi za bei ya chini kabisa ni kwa wale watakaowahi, na usipopata za bei ya chini kabisa bado unaweza kupata bei ya chini inayofuata.

Angalia bei zetu za chini kabisa kuelekea vituo vyetu mbalimbali hapo chini, nauli hizi zimejumuisha gharama ya kodi.


Nauli na Muelekeo wa safari:

- Dar es Salaam to Zanzibar (Tsh 79,000)

- Dar es Salaam to Kilimanjaro (Tsh 79,000)

- Dar es Salaam to Mwanza (Tsh 79,000)

- Dar es Salaam to Mbeya (Tsh 79,000)

- Dar es Salaam to Nairobi (Tsh 173,800)

- Dar es Salaam to Entebbe/Johannesburg/Harare/Lusaka (Tsh 217,800)

- Zanzibar to Johannesburg (Tsh 217,800)

- Harare to Johannesburg ($100)

- Harare to Victoria Falls ($38)

- Harare to Dar es Salaam ($100)

- Johannesburg to Harare/Victoria Falls/Dar es Salaam/Zanzibar (R1,381)

- Nairobi to Dar es Salaam (KES 7,700)

- Lusaka to Dar es Salaam (ZMW 1,080)

- Entebbe to Dar es Salaam (Ush 428,800)

- Entebbe to Kilimanjaro (Ush 428,800)
 
mzushi

mzushi

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Messages
2,628
Likes
2,535
Points
280
mzushi

mzushi

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2012
2,628 2,535 280
mtego huu wa kuumiza watu waliozea vya bure
 
Robot la Matope

Robot la Matope

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2015
Messages
3,576
Likes
5,549
Points
280
Age
100
Robot la Matope

Robot la Matope

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2015
3,576 5,549 280
Fastjet mtawadanganya wasiowajua
 
Muyobhyo

Muyobhyo

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2014
Messages
7,965
Likes
5,795
Points
280
Muyobhyo

Muyobhyo

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2014
7,965 5,795 280
we huoni uwanja wa taifa jana mpaka mabomu yalipigwa na geti kung'olewa chezea bure wewe
 
popo1986

popo1986

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2014
Messages
1,101
Likes
217
Points
160
popo1986

popo1986

JF-Expert Member
Joined Jul 30, 2014
1,101 217 160
Fastjet mmebadilika vitu gani au walele?
Hamnipati
 

Forum statistics

Threads 1,237,181
Members 475,465
Posts 29,280,539