Dilema

AMINATA 9

JF-Expert Member
Aug 6, 2011
2,120
640
kuna kijana mmoja ni single kwa madai yake koz cjamfahamu mda c mrefu so i cant tell more abt him ila kitu nilichojifunza kwake ni kama
1.anapenda utani sana wakati mm sipendi...........yani anatania mpaka pale ambapo hakufai kutania ........mnaongea mada nzito nzuri na deep yy anaingiza utani wa ajabu ambao hata hukuutegemea ndani ya mazungumzo
2.hataki kua karibu na mm mda wote hata kama mm nikionesha kutaka kua naye
3.ni muoga sana cjui anaogopa nn sasa mwe!
4.nimeshamueleza v2 vyote ninavopenda na nisivopenda ila yy bado haelewi sasa sijui ni utoto unamsumbua au bado tu ni akili hazijapevuka mana mpaka nilishamuuliza kwani hujawai kuwa na mahusiano jamani ktk maisha yako ningekua sijawai kutiana naye pengine ningekua na wasiwasi ila yuko poa tu na so hot

kama hamjazoeana sana jipeni muda wa kujuana zaidi. inaweza chukua hata miaka 4 kufahamiana vema na kuamua kama mtaoana,, love takes time mama. ingia you tube sikiza wimbo wa celine love doesnt ask why. jipe muda usije ukakurupuka ukaingia mkenge kwa mikatabafeki kama jina lake linavosema.
 
Kama haeleweki usisite kutambaa kabla hamjafanya commitments zaidi.
Mbona vijana walio single na wanajitambua wapo wa kumwaga tu.
 
Pole, je ulishamueleza kuwa hapendezwi ni hizo tabia zake?
 
Jaribu kuivumilia akili yake pia ucwe wa kujirahisi kwake huku ukiendelea kucheki mabadiliko yake na attitude yake kwako, watu wa hivo wakishaonja huwa wanambio sana si wanakuwa wameshalimbuka na kudumu kwao ktk penzi huwa ni % zisizopungua chache, so be care.
 
kuna kijana mmoja ni single kwa madai yake koz cjamfahamu mda c mrefu so i cant tell more abt him ila kitu nilichojifunza kwake ni kama
1.anapenda utani sana wakati mm sipendi...........yani anatania mpaka pale ambapo hakufai kutania ........mnaongea mada nzito nzuri na deep yy anaingiza utani wa ajabu ambao hata hukuutegemea ndani ya mazungumzo
2.hataki kua karibu na mm mda wote hata kama mm nikionesha kutaka kua naye
3.ni muoga sana cjui anaogopa nn sasa mwe!
4.nimeshamueleza v2 vyote ninavopenda na nisivopenda ila yy bado haelewi sasa sijui ni utoto unamsumbua au bado tu ni akili hazijapevuka mana mpaka nilishamuuliza kwani hujawai kuwa na mahusiano jamani ktk maisha yako ningekua sijawai kutiana naye pengine ningekua na wasiwasi ila yuko poa tu na so hot

Hilo neno limenichekesha... I feel like nakuona unapotoa haya maneno...lol...

On a serious note.... How old is he??
 
akikuzoea vilivyo,maybe ataacha.wengine uoga wao huwafanya baadhi ya maneno yao,wayaelezee kiutani.kutania kwao kunawapa confidence fulani.kama unampenda,usichoke kumuelewesha
 
Nyie wote ni watoto, sio huyo bf wako si wewe
wote nawashauri mkasome kwanza.
 
dah kuna watu wapo fasta kwenye love humu ndan kila m2 ni pm kuwa nao makini hao watakula mzgo watasepa
 
TWO THINGS:
If a man dont want to be open two you 1. He dont believe on you, he doesnt have any future plan with you 2. He is in relation to another woman and its serious one.
You didnt say how long you have been with the boy, just not long, and you said you already have sex with him, also that can be reason, he thought you are just a player because you make yourself so cheap to him.
Sometime men need time to understand a woman,
 
kuna kijana mmoja ni single kwa madai yake koz cjamfahamu mda c mrefu so i cant tell more abt him ila kitu nilichojifunza kwake ni kama
1.anapenda utani sana wakati mm sipendi...........yani anatania mpaka pale ambapo hakufai kutania ........mnaongea mada nzito nzuri na deep yy anaingiza utani wa ajabu ambao hata hukuutegemea ndani ya mazungumzo
2.hataki kua karibu na mm mda wote hata kama mm nikionesha kutaka kua naye
3.ni muoga sana cjui anaogopa nn sasa mwe!
4.nimeshamueleza v2 vyote ninavopenda na nisivopenda ila yy bado haelewi sasa sijui ni utoto unamsumbua au bado tu ni akili hazijapevuka mana mpaka nilishamuuliza kwani hujawai kuwa na mahusiano jamani ktk maisha yako ningekua sijawai kutiana naye pengine ningekua na wasiwasi ila yuko poa tu na so hot
dah!samahani kwa kuingilia uhuru wako ila hili neno kutajwa hapa hadharani limenikwaza kwakweli!!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom