Dikteta huumbwa, hulelewa, husimikwa na kuimarishwa na vyombo vya dola. Mtu peke yake hawezi kuwa dikteta

mr yamoto

JF-Expert Member
Oct 2, 2016
923
1,393
Dikteta akitaka kuteka nchi anaanza kuvunja Normative Values.

Anashambulia Katiba kwa kupiga watu risasi, kupiga mabomu, kukamata watu, kunyamazisha watu kwa vitisho.

Anafanikiwa pale wananchi na taasisi hazitompina. Mabadilko ya Katiba ni mwisho akishavunja values za nchi.

Lakini lazima tujue kuwa dikteta huumbwa, hulelewa, husimikwa na kuimarishwa na vyombo vya dola.

Mtu peke yake hawezi kuwa dikteta. Nguvu hizo atazitoa wapi? Ni Mwenyezi Mungu pekee mwenye nguvu zake.

IMG_20190921_093040.jpeg
 
Back
Top Bottom