Digital Video Broadcasting Receiver (DVB T2)

darcity

darcity

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2009
Messages
4,191
Likes
6,014
Points
280
darcity

darcity

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2009
4,191 6,014 280
Sijawahi sikia antenna/Mina ya samaki inakamata mawimbi ya Satellite mkuu, ebu fafanua zaidi
 
KIBURUDISHO

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Messages
998
Likes
102
Points
60
Age
34
KIBURUDISHO

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Joined Mar 28, 2011
998 102 60
Hakuna cha piga simu utapata maelezo
Eti mikoa yote unatumia ulijenga wewe hiyo minara ya Terestial.Tayari ushasema bidhaa yako ni ya mawimbi ya DVB-T2 sasa hiyo signal ya satellite ambayo ni ya dish utaifunga wapi hapo kwenye hicho kidude punguzeni njaa
 
Jephta2003

Jephta2003

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2008
Messages
4,300
Likes
2,657
Points
280
Jephta2003

Jephta2003

JF-Expert Member
Joined Feb 27, 2008
4,300 2,657 280
Hii DVB T2 haiwezi kuwa jina lake, Jina lake labda ni hiyo TNT.

Maana DVB T2 ina maana ya mawimbi ya "DIgital Video Broadcast Terrestial 2. "
Uko sawa kabisa,kama freesat com ina DVB T2
 
S

Simon Kaboja

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2016
Messages
248
Likes
83
Points
45
S

Simon Kaboja

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2016
248 83 45
Hakuna cha piga simu utapata maelezo wewe ni mwizi kama wezi wengine Eti mikoa yote unatumia ulijenga wewe hiyo minara ya Terestial.Tayari ushasema bidhaa yako ni ya mawimbi ya DVB-T2 sasa hiyo signal ya satellite ambayo ni ya dish utaifunga wapi hapo kwenye hicho kidude punguzeni njaa utapeli haufai.
Unapaswa ujiheshimu sio kila unachofikiria wewe ni kweli, tumia busara Za Kawaida unapohitaji kupata maelezo tumia njia iliyo sahihi, nimekusamehe hujui ulitendalo
 
D

deo paul555

Senior Member
Joined
Oct 22, 2018
Messages
162
Likes
51
Points
45
D

deo paul555

Senior Member
Joined Oct 22, 2018
162 51 45
Unapaswa ujiheshimu sio kila unachofikiria wewe ni kweli, tumia busara Za Kawaida unapohitaji kupata maelezo tumia njia iliyo sahihi, nimekusamehe hujui ulitendalo
Bei yake tsh ngapi hio receiver ? Je Chanel ngapi za bongo unapata? Made in wapi hio?
 
D

deo paul555

Senior Member
Joined
Oct 22, 2018
Messages
162
Likes
51
Points
45
D

deo paul555

Senior Member
Joined Oct 22, 2018
162 51 45
Bei yake 110,000/=, channels zote za bongo unapata kasoro azam na Wasafi, made in China
Dish ft 6 na 8 inakubar? Poa nikijipanga nitakuchek ni dar hata mikoani ziko mfano niko mbeya
 
D

deo paul555

Senior Member
Joined
Oct 22, 2018
Messages
162
Likes
51
Points
45
D

deo paul555

Senior Member
Joined Oct 22, 2018
162 51 45
Ndiyo, mikoa yote tunatuma utapata, Karibu sana
Kaka kwanini usitoe ofa Chanel za bongo zote local uweke ili iwe rahisi siye tulie mbali na mafundi iwe ni kuweka na kuzungusha dish? Au ukisevu hizo Chanel ndio tsh ngapi?
 
S

Simon Kaboja

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2016
Messages
248
Likes
83
Points
45
S

Simon Kaboja

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2016
248 83 45
Kaka kwanini usitoe ofa Chanel za bongo zote local uweke ili iwe rahisi siye tulie mbali na mafundi iwe ni kuweka na kuzungusha dish? Au ukisevu hizo Chanel ndio tsh ngapi?
Mkuu kupata channels unafanya channels search ya kawaida tuu baada ya kuunga dish au antenna yako, ata nikiunga uku ukiconnect na antenna yako lazima utafute upya channels, ni procedure ndogo nyepesi, hakuna malipo yoyote utakayochajiwa baada ya kununua
 
penadu

penadu

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2016
Messages
344
Likes
322
Points
80
Age
38
penadu

penadu

JF-Expert Member
Joined Dec 24, 2016
344 322 80

Unaongea maelezo mepesi sana kwenye kazi ya professional kabisa.... kwanza hakuna satellite ambayo ina channel zote za kibongo kwa pamoja, pili ushasema t2 means ni terrestial sasa dish waungaje? Labda kama wasubir free to air za startime ndio ubebe na sio kila sehemu tanzania kuna mawimbi ya terrestrial bwana labda mijini tu
 
D

deo paul555

Senior Member
Joined
Oct 22, 2018
Messages
162
Likes
51
Points
45
D

deo paul555

Senior Member
Joined Oct 22, 2018
162 51 45
Hebu ni saidie hapo broo hivi km FTA inabidi ujaze masafa kila chanel? Au inakua km kisimbuzi cha makampun ya kulipia vilivyo dukani?
Unaongea maelezo mepesi sana kwenye kazi ya professional kabisa.... kwanza hakuna satellite ambayo ina channel zote za kibongo kwa pamoja, pili ushasema t2 means ni terrestial sasa dish waungaje? Labda kama wasubir free to air za startime ndio ubebe na sio kila sehemu tanzania kuna mawimbi ya terrestrial bwana labda mijini tu
 
penadu

penadu

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2016
Messages
344
Likes
322
Points
80
Age
38
penadu

penadu

JF-Expert Member
Joined Dec 24, 2016
344 322 80
Satellite kaka local za bongo mfano
Kwa hizi receiver tunazotumia lazima ujue freq, tp polarization nk njia yepesi google tu utapata zote mfano

Intelsat 906 at 64.2°E - LyngSat

Hapo ni intelsat 906 pana channel za kibongo kadhaa lakini utakapotaka tbc2, wasafi, clouds nk zipo ktk satellite tofauti sasa hapo ni shughuli nyingine labda ufunge lnb kadhaa kupitia switch ili uzipate sehemu moja
 
D

deo paul555

Senior Member
Joined
Oct 22, 2018
Messages
162
Likes
51
Points
45
D

deo paul555

Senior Member
Joined Oct 22, 2018
162 51 45
Kwa hizi receiver tunazotumia lazima ujue freq, tp polarization nk njia yepesi google tu utapata zote mfano

Intelsat 906 at 64.2°E - LyngSat

Hapo ni intelsat 906 pana channel za kibongo kadhaa lakini utakapotaka tbc2, wasafi, clouds nk zipo ktk satellite tofauti sasa hapo ni shughuli nyingine labda ufunge lnb kadhaa kupitia switch ili uzipate sehemu moja
Yapi nataka local Chanel zote hasa hizi tano,receiver nzuri ya mp4 yakiwango cha chini tsh ngapi nisaidie hata jina tuu
 
penadu

penadu

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2016
Messages
344
Likes
322
Points
80
Age
38
penadu

penadu

JF-Expert Member
Joined Dec 24, 2016
344 322 80
Yapi nataka local Chanel zote hasa hizi tano,receiver nzuri ya mp4 yakiwango cha chini tsh ngapi nisaidie hata jina tuu
Kwa ushauri tu tafuta local fundi huko uliko m discus gharama zote za ku install hiyo system.... sio rahisi mimi kusema kila kitu kwa mazingira yako
 
D

deo paul555

Senior Member
Joined
Oct 22, 2018
Messages
162
Likes
51
Points
45
D

deo paul555

Senior Member
Joined Oct 22, 2018
162 51 45
Ahsante, hata ushauri tuu ipi receiver nzuri ya mp4 ninunue?
Kwa ushauri tu tafuta local fundi huko uliko m discus gharama zote za ku install hiyo system.... sio rahisi mimi kusema kila kitu kwa mazingira yako
 
penadu

penadu

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2016
Messages
344
Likes
322
Points
80
Age
38
penadu

penadu

JF-Expert Member
Joined Dec 24, 2016
344 322 80
Ahsante, hata ushauri tuu ipi receiver nzuri ya mp4 ninunue?
Mzee onana na mjuvi akijua mahitaji yako na budget yako atajua ipi yakufaa, receiver nzuri zipo nyingine bei mbaya hata 400k
 
Forum statistics

Threads 1,262,373
Members 485,562
Posts 30,121,504