Die empty

Nimelipokea ombi Nitafanya hivyo leo
Hakika Munga Tehenan alipofariki nililia machozi. Vitabu vyake, makala kwenye gazeti lake la Jitambue zilinifumbua sana mawazo NIKAJITAMBUA. Gazeti lake lilipopotea mitaani tuliulizana wapi Jitambue. Siku moja nikamwambia rafiki yangu (ambaye naye nilikuwa nimemshauri nyuma asome gazeti hilo na akawa never miss Jitambue) kuwa Munga amefariki. Tulilia kwa pamoja.

Mshana Jr, Mulenge na wengine, tumuenzi Munga. Naunga mkono mawazo ya Mulenge. Mshana Jr tafadhali anzisha uzi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr
 
Ngoja tufanye hivi download
Screenshot_20200508-140609_Telegram%20X.jpg
Screenshot_20200508-140546_Telegram%20X.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe Mtani u also knows lugha zaid ya mbili.. Shda waswazi tunadandiamo mpk humu n reduce what we call taste.. wacha nikalearn af nikija kipande hii hatakuw wakukomentia bla kujua vzr grama...
Stone will die rich
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom