Didier Drogba adaiwa kufukuzwa kazi katika nafasi yake ya Mshauri wa Rais wa Chama cha Soka Afrika

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,445
3,403
Didier.jpg

Taarifa zinadai Mchezaji huyo wa zamani wa timu ya Taifa ya Ivory Coast, amefutwa kazi baada ya kushindwa kutimiza majukumu yake chini ya Rais wa CAF, Ahmad Ahmad.

Inadaiwa Drogba hakwenda kushuhudia hata mechi moja ya michuano ya Mataifa ya Afrika (CAN 2019) wala hajawahi kushiriki tukio lolote CAF tangu ateuliwe kwenye nafasi hiyo.

Hata hivyo, taarifa hizi hazijathibitishwa wala kukanawa na Chama cha Soka Afrika (CAF) au Drogba ambaye aliteuliwa kwenye nafasi hiyo pamoja na Mchezaji wa zamani wa Cameroon, Samuel Eto'o.

======

African football legend Drogba is believed to have gotten the sack from his prestigious position as advisor to CAF President Ahmad Ahmad.

Leading African journalist and countryman - Mamadou Gaye - announced the news via social media today. The claims say that Drogba’s dismissal is based on the Ivorian legend’s failure to honour his duties under Ahmad.

“The emblematic captain of the Ivory Coast Elephants, Didier Drogba, has reportedly been sacked from his post as an advisor to President Ahmad Ahmad," said Gaye’s translated post.

“Appointed along with Cameroonian legend Samuel Eto'o, Didier Drogba in July 2019, Didier Drogba will not have answered Ahmad Ahmad's expectations.

Didier Drogba did not attend a single CAN 2019 match. Nor has he attended a single FCA event since his appointment. In addition, the taste of water that makes the vase overflow, Drogba lined up with Infantino against the CAF,” added Gaye’s post.

Meanwhile, neither CAF nor Drogba are yet to confirm or deny the news. Futaa will be keeping tight tabs on any updates that emerge.


Source: The Daily Times
 
Africa ya vituko mno,na yeye huyu Rais wa CAF atuambie why fainal za mwaka huu aliamua kuzipeleka nje ya bara letu la Africa, super cup ya mwaka huu imechezwa Asia (Middle East)
 
Back
Top Bottom