Diddy aongoza orodha ya Forbes ya wana hip hop watano wenye mkwanja zaidi

naona kama cashmoney itafulia soon. pia siamin kama dre kashapitwa wakati alikua anaongoza. kwell diddy ni real hustler anazitafuta sana natamanbkujua zinaingiaje.
pia dogo drake yuko vizuri ila naona baada ya kuingia freemason ndo mkwanja ukaongezeka. now kampita had wayne na kanye sio mbaya.
 
nimejiuliza sana katka hii, hvi ni mbali na muziki drake anachanzo kipi kingne cha mapato? na ukizngatia wasanii hasa wanahphop huwa hawafich biznes zao. mana wasanii weng wa hiphop naona wanapga biashara kumzidi hata yeye na wanacontrol lebel kubwa sana pale town like rickross and dj khalid. bt how come yeye? na ukichek wikipedia mbna rapperz kibao wanadollarz zilizopita hiyo mil.60 like niki minaj....!?
 
mtu kama lil wyne ana almost 135 million dollarz sasa inakuaje huyo drake akae hapo namba tano na hzo million 60 zake jaman,
 
Dre hajawahi kumpita Diddy... Ile deal ya monster beat ilikuwa imefichwa mwanzoni, watu wakapredict kuwa huenda jamaa kakunja $ billion, kumbe sio. Ile deal ndo imemtoa kutoka net worth ya arround $300 mil mpaka hiyo $710 m.

Still Diddy ana ndoto ya kuwa first black billionaire from the show bizz.
 
mkuu sidhani kama upo sahihi maana hawa hawa forbes ndo walitoa chati na dre alikua kampga gap kubwa sana diddy tena diddy alimpongeza jamaa kwa utajiri alioufikia nakumbuka.
 
nimejiuliza sana katka hii, hvi ni mbali na muziki drake anachanzo kipi kingne cha mapato? na ukizngatia wasanii hasa wanahphop huwa hawafich biznes zao. mana wasanii weng wa hiphop naona wanapga biashara kumzidi hata yeye na wanacontrol lebel kubwa sana pale town like rickross and dj khalid. bt how come yeye? na ukichek wikipedia mbna rapperz kibao wanadollarz zilizopita hiyo mil.60 like niki minaj....!?
Huyo jamaa atacheza hapo 60 akifika 200 wenzie watakuwa kwenye bilions.
 
Kwani Dr Dre ameshatusua zile dola bilioni mbili alizolipwa kwa kuuza Beets by Dre kwa Apple?? Maana nachojua he is the only Billionaire mwana Hip Hop.
 
mtu kama lil wyne ana almost 135 million dollarz sasa inakuaje huyo drake akae hapo namba tano na hzo million 60 zake jaman,
Siju forbes wamepangaje lakini kuna watu kama rusell simon wana 300m master p nayy anayo kama 300m ronald slim brother ake birdman anazo kama 175m, kanye anazo kama 135m hiyo n according na celrbity net worth sijui hao forbes wamepanfaje
 
Back
Top Bottom