Dida Shaibu, paka urimbo mwanaume anase, usimvute kwa uzi wa buibui

Sasambu sasambu dida muache Aslay akatafute maisha kutwa kumfungia ndani kama MSUKULE. Loh mwanamke uso haya ww umeumbwa unyani unautaka ungedere. Usojua kuunda vyako kutwa kupamia vya wenzio kama ni rahisi unda vyako utumie na ulivyopewa kipaji cha kuhonga mamako kutwa kajibanza kwenye gorofa za NHC shekilango.. Narudi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya ww Yusomwasha lete sura yako ndefu kama mbuzi wa HITMA uje kumtetea huyo bosi wako kikojozi ww sindo msukule wake sasa leo nataka niwacheze MSONDO wasungo wakubwa nyie.
Dida Jini kisirani mvunja ndoa na mapenzi ya watu umesahau ulivyokuwa unamliza Rukia umemchukua mume wake kutwaa safar za Arusha zikawa hazikuishi ukiulizwa super star kwa kipi hasa? Na safar zako za china ukirudi na vi raba vyako vya PLASTIC kutoka china unakuja kuhonga bibi wee ndo ukaona umemaliza halooo tulikuwa tunakuchora tu naniasojua F"kaumia long time na anachokifanya ni kuwa unguza wanawake wenye VIRANGA kama ww?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasambu sasambu dida muache Aslay akatafute maisha kutwa kumfungia ndani kama MSUKULE. Loh mwanamke uso haya ww umeumbwa unyani unautaka ungedere. Usojua kuunda vyako kutwa kupamia vya wenzio kama ni rahisi unda vyako utumie na ulivyopewa kipaji cha kuhonga mamako kutwa kajibanza kwenye gorofa za NHC shekilango.. Narudi

Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseeee,ndio maana dogo kapotea kimuziki siku hizi kumbe ananyonya mikorogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maskini Aslay, ndio inabaki story ivoo, waungwana wahamasishane kumsaidia maana mtoto anatoweka muzikini sasa.
 
Shikamoo Da Jane

2AB3C8CA-388C-42AF-A2DC-E7794F800EB2.jpeg

FA2AD482-6743-4973-B8DD-E204CF289D75.jpeg
 
Back
Top Bottom