Did you know

Good Guy

Good Guy

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2010
Messages
4,550
Likes
129
Points
160
Good Guy

Good Guy

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2010
4,550 129 160
Did you know that the sun has used half of its fuel and is expected to run for another 3 or 4 billion years and thats it.When the time reaches It will expand and consume mercury at the time earth will be a ball of molten rocks no life will exist at that time.Then the sun will explode into a supernova triggering a black hole and wipe out the solar system.Know it if you didnt.
 
Amoeba

Amoeba

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2009
Messages
3,328
Likes
123
Points
0
Amoeba

Amoeba

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2009
3,328 123 0
Unavyoongea kwa kujiamini utafkiri ndy umegundua na kufikia conclusion!
Kazi ya Stephen William Hawking, The greatest Physicist and cosmologist alive!
 
Joste

Joste

Senior Member
Joined
Jun 28, 2009
Messages
117
Likes
1
Points
0
Joste

Joste

Senior Member
Joined Jun 28, 2009
117 1 0
Acheni mbwembwe zenu kwani CCM itakuwepo huko
 
Good Guy

Good Guy

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2010
Messages
4,550
Likes
129
Points
160
Good Guy

Good Guy

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2010
4,550 129 160
Unavyoongea kwa kujiamini utafkiri ndy umegundua na kufikia conclusion!
Kazi ya Stephen William Hawking, The greatest Physicist and cosmologist alive!
You got that right ''Thee greatest Physicist and cosmologist alive." i love the guy.Anyway it's not a theory it has hapenned on different galaxies.
 
Amoeba

Amoeba

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2009
Messages
3,328
Likes
123
Points
0
Amoeba

Amoeba

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2009
3,328 123 0
You got that right ''Thee greatest Physicist and cosmologist alive." i love the guy.Anyway it's not a theory it has hapenned on different galaxies.
Hiki kichwa ni balaa!
 
Y

ypointer

Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
10
Likes
0
Points
0
Y

ypointer

Member
Joined Nov 1, 2010
10 0 0
AMAKWELI HIKI NI KICHAA CHA PEOPLE'S CHA KUKATAA SERIKALI HALI YA KUA BADO WANAENDELA KUINGIA BUNGENI KUFATA NOTI?:A S-baby::A S-baby::A S-baby::evil::evil::evil::evil:
 
Good Guy

Good Guy

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2010
Messages
4,550
Likes
129
Points
160
Good Guy

Good Guy

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2010
4,550 129 160
AMAKWELI HIKI NI KICHAA CHA PEOPLE'S CHA KUKATAA SERIKALI HALI YA KUA BADO WANAENDELA KUINGIA BUNGENI KUFATA NOTI?:A S-baby::A S-baby::A S-baby::evil::evil::evil::evil:
Acha bana.Inabidi kuonesha msimamo,haiwezekani mkachakachuliwa afu msionyeshe msimamo mtegemee kupata haki.Kwa hiyo yote ni sawa.Japokuwa hamna uhusiano na 2nachoongelea hapa.
 
Amoeba

Amoeba

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2009
Messages
3,328
Likes
123
Points
0
Amoeba

Amoeba

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2009
3,328 123 0
AMAKWELI HIKI NI KICHAA CHA PEOPLE'S CHA KUKATAA SERIKALI HALI YA KUA BADO WANAENDELA KUINGIA BUNGENI KUFATA NOTI?:A S-baby::A S-baby::A S-baby::evil::evil::evil::evil:
Vp ndugu, umepotea njia? hii thread inahusiana vp na post yako?....mwe:A S angry:
 
Kituko

Kituko

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2009
Messages
9,538
Likes
7,406
Points
280
Kituko

Kituko

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2009
9,538 7,406 280
mara nyingi hizi post huwa na wachangiaji wachache sana
 
Preta

Preta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2009
Messages
24,203
Likes
3,349
Points
280
Preta

Preta

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2009
24,203 3,349 280
Huwa wachache zaidi kwa kuwa hata wanaochangia wengine wanaweka siasa kama unavyoona hapo juu.
bora twen'zetu kule kwetu tukapunguze mastress
 
3D.

3D.

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2010
Messages
1,022
Likes
9
Points
0
3D.

3D.

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2010
1,022 9 0
bora twen'zetu kule kwetu tukapunguze mastress
Sijui!!!! Maana najua "kule kwetu" wakuu wameku-tight sana siku za hivi karibuni. Naamini unapata PM nyingi kiasi kwamba wengine tunalazimika kuwa observers. Hongera lakini.

Uchache wa wachangiaji katika forum hii nadhani ni kwa sababu watu "wa sayansi" ni wachache sana Tanzania. Lakini jingine ni kuwa hata sisi tunaojiita watu wa Sayansi hatuko informed, tunajua ku-calculate tu na kupata majibu basi!!!!! Hili ni tatizo.

Nakusudia kutumia ufahamu wangu wa computer kuikuza sayansi ya Tanzania.
 
Forum statistics

Threads 1,237,407
Members 475,533
Posts 29,287,333