Did you know?

... And finally do you know who is the terrorist now ?

.. AND finally I know that;

Terrorist must be terrised by the terrorist! No any other solution out there!!
 
Buchanan,
watu wenye maarifa hawashabikii mizani iliyolalia upande wa dhulma na batili katika haki, hebu tathmini unachoongelea na hali halisi inavyotokea mashariki ya kati, sisi Mkuu tunaiyona kwa macho yetu huku, pengine ww unaona kupitia cnn, bbc etc, sasa hoja zako za kishabiki shabiki nashindwa nianzie wapi kukuelewesha ufahamu kuwa wanaokufa Palestina si waislamu tu, wamo watu wa dini nyengine pia lkn tunachokizungumzia ni maafa ya wote.
kama mtu yupo palestina,anatakiwa ahame-maana yupo kwenye wrong place,so kwa hao wanaobaki let them die,israel hapo ilipo ipo sawa maana ndo mahala ilipotakiwa iwepo,maswala ya kutenda haki sehemu ambayo mtu hana haki yapo tz,si israeli.
NA MORE BUILDING OF SETTLEMENTS TO BE ACCOMPLISHED IN FEW DAYS TO COME AS THE RESULT OF RECENT DEMONSTRATION,
NILIONA HAYA MAANDAMANO YA WAISRAEL WAKIDAI MAKAZI NA MAISHA BORA,SO NOW WE ALL KNOW WHO MUST CARRY THIS BURDEN,SIMPLY,THOSE WHO ARE IN WRONG PLACE,AT A WRONG TIME
 
Back
Top Bottom