Did you know that Abeid Karume was 17 years older than Julius Nyerere?

MAMA POROJO

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
4,974
785

source: WIKIPEDIA

ABEID AMANI KARUME.


Fso7FR2vuKP08f8GHNFMSw0mN0YAAAAASUVORK5CYII=


Abeid Amani Karume
(August 4, 1905[SUP][/SUP] – April 7, 1972), was the first President of Zanzibar. He obtained this title as a result of a popular revolution which led to the deposing of the last Sultan of Zanzibar Sultan Jamshid bin Abdullah in January 1964. Three months later, the United Republic of Tanzania was founded as Tanzania, prompting Karume to become the first Vice President of the United Republic along with Julius Nyerere of Tanganyika as president.


Allegedly born at the village of Mwera in 1905, Karume had little formal education and worked as a seaman before entering politics. He left Zanzibar in the early years of his life, traveling among other places to London, where he gained an understanding of geopolitics and international affairs through exposure to African thinkers such as Kamuzu Banda of Malawi. Karume developed an apparatus of control through the expansion of the Afro-Shirazi Party and its relations with the Tanganyika African National Union party.



JULIUS NYERERE.






Julius Kambarage Nyerere (13 April 1922 – 14 October 1999) was a Tanzanian politician who served as the first President of Tanzania and previously Tanganyika, from the country's founding in 1961 until his retirement in 1985.

Born in Tanganyika to Nyerere Burito (1860–1942), Chief of the Zanaki,[SUP][/SUP] Nyerere was known by the Swahili name Mwalimu or 'teacher', his profession prior to politics.[SUP][/SUP] He was also referred to as Baba wa Taifa (Father of the Nation).[SUP][/SUP]Nyerere received his higher education at Makerere University in Kampala and the University of Edinburgh. After he returned to Tanganyika, he worked as a teacher. In 1954, he helped form the Tanganyika African National Union.




mytake:

Nimeona ni jambo la kitaifa ku- share na wenzangu hasa wale ambao hawakujua kama mimi. Lakini pia inaonyesha kwamba pamoja na Karume kumpita Nyerere kwa miaka 17 bado aliamini kijana huyo atamudu changamoto za kuongoza taifa. Tuna jambo la kujifunza hapa.









 
Je, tunajua kuwa Nyerere alikuwa Rais kwa umri wa mika 39 tu mwaka 1961, Abeid Karume alikuwa Rais akiwa na miaka 58 mwaka 1963, Mwinyi Rais alipokuwa na miaka 60 mwaka 1985, Mkapa miaka 57 mwaka 1995 na Kikwete miaka 57 mwaka 2005?

Nyerere alizaliwa 13 April 1922
Abeid Karume alizaliwa 4 Agosti 1905.
Mwinyi alizaliwa 8 Mei 1925.
Mkapa alizaliwa 12 NOV 1938.
Kikwete alizaliwa 7 Octoba 1950.
 
Ni kweli tuna jambo la kujifunza hapa kuhusiana na umri. Jambo lenyewe ni kwamba kuwa na umri mkubwa au mdogo si kigezo cha kuwa kiongozi bora. Bali kiongozi bora hupatikana kutokana na uwezo, uadilifu na uzalendo. Swali la kujiuliza mbona tangu Zitto Kabwe atangaze kuwa atawania urais 2015 kumekuwa na mawazo yenye negativity nyingi sana kwake?
 
Mama Porojo umetuamlia leo na umri wa viongozi wetu. Lakini ujumbe nimeupata, kwamba miaka ni namba tu, kikubwa ni uwezo wa kuongoza. Je unashauri below 40 wapewe uraisi?
 
Tunajifunza jambo kwamba Karume alijali uwezo wa Nyerere kuliongoza taifa si umri wake? hakuangalia Utanganyika wake, kabila lake, dini yake na nasaba zake zote.

wapo wanaoamini kuwa umri ndio msingi wa busara lakini sio kinyume chake. Karume anatufunza kwamba sivyo kijana anaweza kuwa na busara na hekima za kuongoza watu wazima.
 
Ni kweli tuna jambo la kujifunza hapa kuhusiana na umri. Jambo lenyewe ni kwamba kuwa na umri mkubwa au mdogo si kigezo cha kuwa kiongozi bora. Bali kiongozi bora hupatikana kutokana na uwezo, uadilifu na uzalendo. Swali la kujiuliza mbona tangu Zitto Kabwe atangaze kuwa atawania urais 2015 kumekuwa na mawazo yenye negativity nyingi sana kwake?

kama ulifuatilia mahojiano ya Zitto na jamiiforums tarehe 22 Nov 2012 amesafisha sana upepo mbaya wa kisiasa dhidi yake.

Mwanasiasa hawezi kukosa misukosuko.

kupitia interview hiyo mimi mwenyewe nilipata majibu ya mambo mengi hasa mabaya dhidi yake yaliyokuwa yanasambazwa ndani na nje ya jamiiforums.

Ni kazi ya wanasiasa kujisafisha kila mara ikibidi dhidi ya upepo mbaya wa kisiasa. Kukaa kimya ni kujimaliza kisiasa.
 
Mama Porojo umetuamlia leo na umri wa viongozi wetu. Lakini ujumbe nimeupata, kwamba miaka ni namba tu, kikubwa ni uwezo wa kuongoza. Je unashauri below 40 wapewe uraisi?

Kama tunafikiri Nyerere aliweza kumudu kwa kiwango cha binadamu kwani ni Mungu tu ndiye hana makosa au hakuwa Rais mbaya kuliko wote tuliowahi kupata hadi sasa basi umri is just a number.
Kipindi cha Nyerere wasomi walikuwa wachache lakini sasa ni wengi na dunia inakimbia, kushusha umri ni jambo bora kwa sasa kama watanzania wengi wataona inafaa.
 
Mods wametoa thread hii kwenye jukwaa la siasa lakini ingetusaidia sana kwenye angalizo la katiba mpya na umri wa kumpata Rais wa nchi.

ingetusaidia sana kwenye uchambuzi wa mambo ya siasa za nchi yetu.

Thread ilikuwa inaangalia historia na tulipo katika siasa za sasa hasa tunapojadili umri wa Rais na umri wa kustaafu kwa viongozi wa kitaifa

Nyerere alistaafu akiwa na umri wa miaka 63. Tunajifunza nini leo hii.
 
Tunajifunza jambo kwamba Karume alijali uwezo wa Nyerere kuliongoza taifa si umri wake? hakuangalia Utanganyika wake, kabila lake, dini yake na nasaba zake zote.

Nijuavyo mimi hata huo urais Karume alipewa na Nyerere. Karume hakuwa na role yoyote kwenye Zanzibar revolution.
 
Karume Existence kwenye politics ni kwa kupitia mgongo wa Nyerere.
Bila ya Nyerere karume Asingeweza kuwa Rais Zanzibar, Na bila ya Nyerere asingeweza au Asingedumu kuwa kiongozi wa Afro-shirazi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom