Did the Italians seriously just put Berlusconi back in office?

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,546
832
What a country...

silvio_berlusconi_wideweb__430x249,1.jpg
 
Ndivyo walivyo au...?
Hivi kesi zake za corruption zimeishia wapi?
 
I Love Politics...is Italy in Europe??!! Unbelievable.

Apparently Yes!! and also a member of G8.

Tricky coalition talks are expected in the coming days. In a telephone call to Rai TV, Mr Berlusconi said his slimmed-down cabinet would have 12 ministers, including four women.

In his interview, Mr Berlusconi said he was moved by the faith that so many citizens had placed in him.
 
Tunarudi Kule kule. Kwa Barluscon kurudi madarakani no problem. Maana kuna institutions ZIPO TAYARI. Kwa hiyo ni accountability kwa kwenda mbele. Swala siyo personalities, swala ni je sheria zipo na zinafuatwa? Otherwise, to me thats what we call democracy. Wapiga kura wote siyo wajinga! Thats why we have people like Bush, Blair, Sakorzy et al! BUT THEY ARE SUBJECT TO THE LAW JUST LIKE ME AND YOU. Something lacking in Africa. Leaders are above the law. Barluscon anaweza kuwa na mapungufu yake kama binadamu, lakini akiingia madarakani.......kuna misingi ambayo inabidi aifuate. All in all as we have said now and again. If you have the rule of law and not the rule of man...hata demon wa namna gani anaweza kuwa kiongozi!
 
Tatizo la Italia ni kuwa at this moment it is in a very bad shape (kwa viwango vya nchi zilizoendelea) Katika hali iliyopo ambayo gari ni bovu, huwezi kumlaumu dereva, au huwezi kutatua tatizo hilo kwa kubadilisha madereva, suluhisho ni kukarabati gari.
Lakini kwa sasa Italia hawana chaguo, hata Tanzania leo pamoja na kuwa tuko kwenye gari bovu, ukiwaambia watanzania wachague Mkomunisti na kabaila mhunimhuni kuongoza, wengi watachagua kabaila mhuni, hicho ndio kilichotokea Italia. Na Berlusconi mwenyewe atakaa kwa miaka miwili au mitatu ahalafu ataanguka tena.
Italia siasa zao ni nzuri sana, hadi nyota wa filamu za ngono wanakuwa wabunge, very representative democracy!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom