zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 19,006
- 28,629
- Thread starter
- #201
Kweli mkuu inabidi tuwasiliane tufanye kitu... Ntakuja PMZitto junior hebu kwenye hili naomba tuwasiliane... Nina idea lakini inakosa support
Kweli mkuu inabidi tuwasiliane tufanye kitu... Ntakuja PMZitto junior hebu kwenye hili naomba tuwasiliane... Nina idea lakini inakosa support
PouwaKweli mkuu inabidi tuwasiliane tufanye kitu... Ntakuja PM
ACTUALLY BABA YUPO UMRI KARIBU 95 YRS. huyu nikipata nafasi nitamwuliza alikuwa anatoka kata jirani. Sikuwa nafikiria haya mambo ktk umri wa kukaa na kusimuluwa na bibi. bibi alisoma mpaka darasa la 2 la kijerumani. Alikuwa anatusaidia kuimba a be che de.wakati tuko che,echea 1960 na dada yangu. nilisoma sekondari iliyokuwa haina masomo kama historia jografia wala buologia. hivo sikuweka umuhimu ktk mmasimulizi ya bibi.hata home kuna sehemu bibi alisema wajerumani walilipua na kufukia vitj wakati wa vita ya pili. waliotesha mzambarAU ila ulikwisha kufa. napafahamu sihui walizika kitu ganiVipi hakuwahi kukusimulia kuhusu asili (wazazi au ndugu na jamaa) ya huyo giant?
Tunaweza kuchunguza tukajikuta kumbe hapa ndo kanaaniNdugu zangu ...
Ni vile kuna udhaifu mkubwa sijui wa makusudi au bahati mbaya wa kufukia na kutofatilia wala kuyapa umuhimu mambo kama haya!
Naamini kuna sababu ,maana ni vitu vilivyo wazi...na tuna hazina nzuri za watu wenye uwezo wa kufuatilia na wakatujuza mambo mengi
tusiyoyajua ila yenye faida kubwa kwetu na vizazi nyetu!
Mimi binafsi naamini kuna kitu nyuma ya pazia...kwa nchi za Africa ...na inawezekana kuna baadhi yetu wanajua sababu lakini wanarithishana
" kuyafumbia macho "
Kwa mfano..fuvu la Olduvai hata wazungu wamekubali kuwa ni binadamu wa kwanza...lakini wala haikupewa uzito unao stahili...kwamba hapo ndio wangeanzia tafiti zaidi ili kujua mengi ambayo labda hayakuacha alama au zilipotea kwa kukosa utunzaji na miaka kupita!
Niliwahi kuambiwa na wazee kwamba aliwahi kuzaliwa jitu ambaye alikuwa anarefuka kila baada ya mda mfupi,sasa ikabidi afanyiwe hila auliwe mapema kabla hajawa mtu mzima maana angefika mawinguni na ingeleta shida!
Walimuua kwa " punju "
Habari za" Unju " mwenye maguvu tulisimuliwa tukiambiwa alipata kutokea sehemu za Wangindo Kilwa na Bagamoyo ....
Sasa ukikusanya maelezo mbali mbali ya watu na kuchunguza kweli hatuwezi kundua kitu hapo??
NB.inawezekana sana tu kuwa historia ya mwanadamu imegeuzwa na kufanywa kinyume kwa maslahi ya watu flani!
Walishatuweza karne nyingi tu nyuma!
Mkuu...umenifanya kucheka wallah!Tunaweza kuchunguza tukajikuta kumbe hapa ndo kanaani
ohooo
Tukajikuta kumbe ndo sisi taifa teule
Nakwambiaje jichunguze utajikuta una ukoo na HenokoMkuu...umenifanya kucheka wallah!
Inawezekana hii Africa ndio palikuwa na bustani ya "eden"...maana mbona huko M.East hakuna hata sifa hizo?
Angalia Tz..wanyama..mito...misitu.., hata Uganda.....Congo....Ethiopia nk...na mpaka mto Nile nishawahi soma inasemwa ulianzia kwetu.....madini...na kila utajiri uko huku!
Afu hata hao wanaoitwa mayahudi..mbona walitaka kuwapeleka Uganda wale Ethiopians waliokwenda kuishi Israel ....sema nadhani wakaona tutashtukia maana itabidi sasa ijulikane kwamba huku ndio nchi ya ahadi yenye maziwa na asali!
Japo kuwa juzi kati hapa ..nasikia serikali ya Uganda imekubaliana na Waisrael ...kuwapokea wa Ethiopia walioamua kurudi kwao kwa asili kwa kujibu wa imani yao, yaani Israel.....
Sasa sijui inawarejesha kwao Kanaan Uganda au ndo haiwataki kwa vile ni weusi..so wanaogopa kuunganishwa na koo za weusi maana hapo itajulikana tu...kama Suleiman ...Nuhu...Yessu na wengineo walikuwa na rangi gani!
Biblia inaeleza hivyo kiongozi kuwa kuna malaika waasai 200 ambao baada ya kutupwa mbinguni waliwatamani binadamu na wakafanya nao mapenzi na hapo ndipo ulipotokea mfano wa hayo manefiliKwani Malaika wana hisia za kufanya mapenzi mkuu?
Mkuu...umenifanya kucheka wallah!
Inawezekana hii Africa ndio palikuwa na bustani ya "eden"...maana mbona huko M.East hakuna hata sifa hizo?
Angalia Tz..wanyama..mito...misitu.., hata Uganda.....Congo....Ethiopia nk...na mpaka mto Nile nishawahi soma inasemwa ulianzia kwetu.....madini...na kila utajiri uko huku!
Afu hata hao wanaoitwa mayahudi..mbona walitaka kuwapeleka Uganda wale Ethiopians waliokwenda kuishi Israel ....sema nadhani wakaona tutashtukia maana itabidi sasa ijulikane kwamba huku ndio nchi ya ahadi yenye maziwa na asali!
Japo kuwa juzi kati hapa ..nasikia serikali ya Uganda imekubaliana na Waisrael ...kuwapokea wa Ethiopia walioamua kurudi kwao kwa asili kwa kujibu wa imani yao, yaani Israel.....
Sasa sijui inawarejesha kwao Kanaan Uganda au ndo haiwataki kwa vile ni weusi..so wanaogopa kuunganishwa na koo za weusi maana hapo itajulikana tu...kama Suleiman ...Nuhu...Yessu na wengineo walikuwa na rangi gani?
Haswa naimani hawataweza kuhide kila kitu ukweliutajurikana.
Mkuu,Wanefili ni matokeo ya zinaa baina ya binadamu [wanawake] na Malaika waasi...Ni kweli malaika kama malaika au ROHO yeyote hawezi kuzalisha sababu haikuumbwa kwa sababu hiyo ila mwili unaweza kuzalisha sababu uliumbwa kwa kazi hiyo na ndipo mjadala unapoaanza.
Kwa kuwa leo umepatikana Usisahau kupita na huku mkuu utupe maoni yakoMkuu,Wanefili ni matokeo ya zinaa baina ya binadamu [wanawake] na Malaika waasi...
Hakuna cha kuficha hapo...
Mkuu heshima kwako....Ushahidi wa kihistoria unathibitisha uwepo wa majitu japo historia inashindwa kututhibitishia asili yao.
Mpaka sasa hatujui haya majitu yalikuwa ni Uzao wa binadamu (Adam) au Ilikuwa ni jamii nyingine tofauti kabisa na jamii ya Binadamu. Hivyo kwenye huu mjadala tungesema: GIANTS DID EXIST, BUT WHERE DID THEY COME FROM AND WHERE ARE THEY NOW ???? Hapa sasa ndipo tungeanza kuja na nadharia za kidini ambazo zinatoka kwenye Biblia, Kurani na hadithi za kidini (Mythologies) au Utafiti wa kisayansi ambao unazungumzua mabadiliko kutokana na muda na mzaingira (Evolution)
MATTHEW 24:37-39 (KJV)Mkuu heshima kwako....
Kama mambo yapo hivi na zaidi ya hivi,unatarajia jibu la swali lako litapatikana kweli?
Viumbe waliosababisha mabadiliko haya ya kizazi ni viumbe gani na wanataka nini?
Hapo kwenye blue nimepaelewa sana mkuu...MATTHEW 24:37-39 (KJV)
37 But as the days of Noah were, so shall also the coming of the Son of man be.
38 For as in the days that were before the flood they were eating and drinking, marrying and giving in marriage, until the day that Noe entered into the ark,
39 And knew not until the flood came, and took them all away; so shall also the coming of the Son of man be.
~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~
~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~
And ye shall know the truth, and the truth shall make you free.
Day of Reckoning is coming, some people don't just feel it........
NB: Mkuu Eiyer its good to see you , nashukuru sana kwa bandiko zuri lenye kufikirisha..
Tuko pamoja sana na Barikiwa.
Mkuu umerudi jumla au ndo tusubiri tenaMkuu,Wanefili ni matokeo ya zinaa baina ya binadamu [wanawake] na Malaika waasi...
Hakuna cha kuficha hapo...
Hizi dhana nyingine mnalazimisha yiMkuu hapa naona ukakasi labda tujaribu kufikiri hivi.
Mungu aliwaangamiza kidogokidogo ili hata vizazi vingine vipate kujua habari zao maana kama angewaangamiza wote katika garika ya nuhu Leo tusingeona hata mabaki ya mifupa yao mifupa ya mabaki ingekuwa baharini ili kuujua ukweli aliwaacha waishe taratibu ili tujifunze na kupata ushahidi wa wao kuishi.