Dictator’s Link to Prize Puts Unesco in Odd Spot | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dictator’s Link to Prize Puts Unesco in Odd Spot

Discussion in 'International Forum' started by Genda, Jun 7, 2010.

 1. G

  Genda Member

  #1
  Jun 7, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa kifupi tu, nanukuu habari hii iliyoandikwa katika gazeti la The New York Times:

  Dictator’s Link to Prize Puts Unesco in Odd Spot

  By STEVEN ERLANGER

  Published: June 6, 2010

  PARIS — A new international prize for scientific achievement lavishly financed by one of Africa’s most infamous dictators has placed Unesco and its new director general in a delicate bind.
  The Unesco-Obiang prize, tentatively scheduled to be awarded by the end of the month, has been roundly criticized by scientists and human rights organizations as little more than a clumsy effort to burnish the reputation of Teodoro Obiang Nguema Mbasogo, the president of Equatorial Guinea. Mr. Obiang has been accused by rights groups and anticorruption activists of embezzling hundreds of millions of dollars from his tiny oil-rich West African state, while most of its people scrape by in dire poverty...
  Lakini hii sio mara ya kwanza kwa Unesco kupokea mapesa kutoka kwa “mafisadi”.
  Mosi, nakumbuka Unesco (literary section) ilikuwa inatoa zawadi - kwa nchi- mshindi wa kisomo cha manufaa miaka ya 1970s - ya Mfalme wa Iran (Mohammad Rezā Shāh Pahlavi). karibu kila mwaka, Tanzania tulikuwa tunashinda hiyo zawadi.
  Pili, zawadi ya Nobel Prize ya Alfred Nobel (mwanasayansi, mgunduzi, mjasiliamali,mwandishi wa vitabu na mpatanishi).
  Huyu alipata hayo mapesa kutokana na utafiti wake wa matumizi ya baruti. Ingawa hakuwa wa kwanza kugundua baruti (wa-China ndio walikuwa wa kwanza – lakini matumizi yake ya kawa katika sherehe za za anasa sio vitani).
  Mafanikio ya utafiti wa Alfred Nobel katika mambo ya kivita yameua binadamu wengi sana na kuharibu mali. Hata hivyo, tunashangilia na kujiona endapo tutatajwa kuwa watuzwa zawadi ya Nobel Prize!
  Sasa yameibuka ya Rais wa Equatorial Guinea, Teodoro Obiang Nguema Mbasogo na zawadi yake hiyo!
  Ukitaka kusoma zaidi, fungua (sehemu ya (b) inaonyesha stori ya Amerika kumlinda Teodoro Obiang Nguema Mbasogo (ambaye mtoto wake na Waziri wa Kilimo amejijengea jumba la kifalme huko sehemu za Malibu, California) kutokana n anchi hiyo kuwa na mafuta:

  (a) http://www.nytimes.com/2010/06/07/world/07unesco.html?ref=africa

  (b) http://www.nytimes.com/2009/11/17/us/17visa.html?_r=1&scp=3&sq=Teodoro%20Nguema%20Obiang%20mansion%20in%20malibu&st=cse
   
Loading...