Dick Sound: Milionea aliyeanza kuuza maji, kufunga muziki Magomeni

Saint Anno II

JF-Expert Member
Sep 12, 2021
620
1,000
Wewe dick humjuwi,,wacha kudanganya watu.
Huyo alianzia ufundi radio na tv miaka ya 95,hayo maji kauza lini?
Shughuli zake alifanyia mtaa wa kibesa magomeni mwembe chai,, kaulize taarifa zake.

Huyo jamaa ana umri zaidi ya miaka 45.
Kamwili kadogo dogo na kunyoa ndevu muda wote kunamdanganya.

Hata huo utajiri aliomtangazia hapa hana angekuwa na uwezo huo ile nyumba anayofanyia kazi angeinunua maana kama sasa hivi imebomolewa paa upande mmoja sijui kimetokea nini pale.na soko lake pale magomeni limevamiwa amezungukwa na mafundi chungu mbovu sasa hivi wateja ni wakugombania.
 
King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
44,108
2,000

Umeongea ukweli ,Jamaa ana pesa ya kula tu ,kuwa na gari au nyumba ni kawaida kwake kwa kazi anayofanya...ila hana nyumba hiyo ya 350M au Magari ya 850M.

Atakuwa na nyumba hizi zetu za 30m-50m na vigari vyetu hivi vya 20m -30m.

Dick Sound hawezi kuwa na utajiri huo unaozungumzia.
 
Saint Anno II

JF-Expert Member
Sep 12, 2021
620
1,000
Umeongea ukweli ,Jamaa ana pesa ya kula tu ,kuwa na gari au nyumba ni kawaida kwake kwa kazi anayofanya...ila hana nyumba hiyo ya 350M au Magari ya 850M.

Atakuwa na nyumba hizi zetu za 30m-50m na vigari vyetu hivi vya 20m -30m.

Dick Sound hawezi kuwa na utajiri huo unaozungumzia.
Mgeni wa kushika pesa hata million 10 hajawahi kushika ukimkuta ana-spell mill350 sijui 850 anaona rahisi sana mwambie akae chini apige hesabu za kusadikika abuni kazi yoyote hata kama ya uwongo anayoona yeye itampa faida ya hizo pesa anazoandika kwa tarakimu hapa uone kama jasho halikumtoka,hata kwa kuiba hazipati kwa dunia ya sasa but mtu anakuja kusifia mtu amefunga radio na alarm kwenye magari akamiliki mali za billion!

Dick alikuwa na miaka ya neema 2012 to 2017 but wale wale aliowapa ujuzi akaja kukuta ndo wapinzani wake pale magomeni changanya Magufuli kubana pesa so kukawa hamna tena mtu wa kufunga music wa gari wa mill 2 akabaki kufunga funga alarms tu na kuokota wasanii kwa sababu ya jina alishalitengeneza zamani,huu uzi ungekuja miaka hiyo niliyoitaja hapo juu inge-make sense maana miaka hiyo haikuwa ajabu kukuta zimepak gari kwa foleni kusubiri huduma japo asingekuwa na utajiri uliotajwa hapa.
 
M2WAWA2

JF-Expert Member
Aug 15, 2014
1,092
2,000
Nimevutiwa na utajiri mkubwa huyu kijana mwenye miaka 31.

Amekuwa akiuza maji kabla ya kujiajiri kwa kazi be ya kufunga mziki magari na kuyapimpu.Kazi hii kafanya kwa miaka zaidi ya ishirini.

Ana miliki nyumba yenye thamani ya zaidi ya milioni 350 TSH, pamoja na magari ya kifahari ya thamani ya zaidi milioni 850.

Hakika kijana huyu ni kielelezo cha vijana wenye mafanikio makubwa kwa kujiajiri wenyewe bila ya kutegemea ajira ya serikalini, mafanikio ya kijana huyu ni zaidi ya wasomi walioajiriwa wakisubiri mshahara kiduchu kwa mwezi.

Hongera yake.
UZI HUU UMEJIANDIKIA MWENYEWE, SI USUBIRI SIFA UTAPEWA TU
 
mwandende

JF-Expert Member
Feb 16, 2017
8,046
2,000
Kamwili kadogo dogo na kunyoa ndevu muda wote kunamdanganya.

Hata huo utajiri aliomtangazia hapa hana angekuwa na uwezo huo ile nyumba anayofanyia kazi angeinunua maana kama sasa hivi imebomolewa paa upande mmoja sijui kimetokea nini pale.na soko lake pale magomeni limevamiwa amezungukwa na mafundi chungu mbovu sasa hivi wateja ni wakugombania.
Dicki sounds ni kijeba mkuu.. hayupo kwenye vijana wadogo.

Ngoja siku aachie ndevu uone.
 
Watu8

Platinum Member
Feb 19, 2010
60,630
2,000
Nimevutiwa na utajiri mkubwa huyu kijana mwenye miaka 31.

Amekuwa akiuza maji kabla ya kujiajiri kwa kazi be ya kufunga mziki magari na kuyapimpu.Kazi hii kafanya kwa miaka zaidi ya ishirini.

Umri wake sasa: 31 yrs
Uzoefu wa kazi: Over 20 yrs

Ndugu zangu mmeelewa nini, mfano mtu akikuuliza jamaa alianza kujishughulisha na biashara akiwa na umri gani?
 
wa kupuliza

JF-Expert Member
Jun 15, 2012
10,657
2,000
Mgeni wa kushika pesa hata million 10 hajawahi kushika ukimkuta ana-spell mill350 sijui 850 anaona rahisi sana mwambie akae chini apige hesabu za kusadikika abuni kazi yoyote hata kama ya uwongo anayoona yeye itampa faida ya hizo pesa anazoandika kwa tarakimu hapa uone kama jasho halikumtoka,hata kwa kuiba hazipati kwa dunia ya sasa but mtu anakuja kusifia mtu amefunga radio akamiliki mali za billion!

Dick alikuwa na miaka ya neema 2012 to 2017 but wale wale aliowapa ujuzi akaja kukuta ndo wapinzani wake pale magomeni changanya Magufuli kubana pesa so kukawa hamna tena mtu wa kufunga music wa gari wa mill 2 akabaki kufunga funga alarms tu na kuokota wasanii kwa sababu ya jina alishalitengeneza zamani,huu uzi ungekuja miaka hiyo niliyoitaja hapo juu inge-make sense maana miaka hiyo haikuwa ajabu kukuta zimepak gari kwa foleni kusubiri huduma japo asingekuwa na utajiri uliotajwa hapa.
Naona alijiongeza na kuanza kuuza ma rim ya kichina pale kwake.
 
LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
10,218
2,000
Unasema?

Screenshot_20211029-110122 (1).png
 
adden

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
6,449
2,000
hivi ana undugu na mariooo..wanafanana sn...
mimi nilitoa gari bandarini nikapeleka pale anifungie mziki,aweke rim mpya na kusafisha taa..akaniletea esabu mil5 nikalipa kirooo safi sbb nilipiga stor na chege,temba na madem kibao yalikuw yanakuj pale mazuriii anayatambulisha kwamba mimi ni tajir wa chuga..nilikuwa naskia raha sana na kila dem w bongo movi nilimuagizia lunch na kumpa ten..mmoja nilimlipia kuoshewa taa gar yke..niliondoka roho safi nikipig selfie kali kali na chenge mtoto w mama saidi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom