Dibanji alizimika hapa

n00b

JF-Expert Member
Apr 10, 2008
1,006
2,667
i1238_DSC04718.JPG

 
sijakuelewa mkuu,yani ilikuwaje??
Jamaa alipomwona binti huyu network ilikatika kabisa. Alilazimika kumkatia ticket akaenda nae Nairobi, binti akamwambia mbona nakaa mwenyewe hotelini wakati uko kwenye show, D'banj akamwuliza kwani vp? Akamwambia marafiki zangu wote wapo Dar, akamwuliza wangapi? Akamwambia wanne, akawakatia mashosti wake wanne ticket za ndege wote wakaenda Nai kula raha kwenye show ya D'banji na shost yao wakati binti akila raha na kijana.

Nasikia binti alifanyiwa shopping ya kufa mtu babake.

PingPong, avatar yangu hata mimi huwa inanichekesha lol :)
 
tueleze vzr, nadhani tupo wengi hatuzijui hizo sura 3....enhee ya kwanza ni ipi?
Ya kwanza ni hiyo unayoiona, ambayo Kwetunikwetu ameifananisha na yai bovu. Sura nyingine mbili hazionekani waziwazi. Moja utaiona kwa ruksa maalum na nyingine hadi upate wasaa maalum.
Nimetoa dondoo, FL1 atatoa ufafanuzi. Nina hakika anazijua. Ngoja akija hapa utapata majibu.
 
Eh bana e hili furushi likimwaga radhi hata sir God hatakasirika lakini inabidi uwe na bakora ya inchi sita ndo unaweza kumwadhibu vizuri the teh
 
Mashosti wa kiswahili hatari tupu yaani kawachukua na wenzake kwenda kumunywea ***** ,tukisema dada zetu hovyo wengine wanapinga jamaa kakulove wewe unataka pia na marafiki zako awahudumie siku ingine hutamuona ati nayo mishosti kwa kupenda vya bure ikaenda kulimbuka Nairobi loh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom