Diaspora Waliojilipua Sasa Manaweza Miliki Ardhi Tanzania

Da vincci

Member
Aug 9, 2009
61
9
Why Investing In Fumba?

• Full 99 year title deed granted to every purchaser from all nationalities around the globe.

• Unique seafront location within a free economic zone.

• Affordable prices starting at US$ 19,900.

• Flexible payment plans up to 4 installments and availability of Mortgage facilities.

• Perfectly accessible through international airport and new ferry terminal.

• Protected by local and international investment protection laws.

• Detailed master planning and State of the art infrastructure and services.

• Built with the philosophy of providing modern and affordable homes.

• First permaculture, ecologically friendly town in East Africa.

• High appreciation of capital invested etc.

Call Us For More Details: 0776 655 655
DJI_0013.JPG
 
Attachments

  • Screenshot_20181230-120907.jpg
    Screenshot_20181230-120907.jpg
    115.8 KB · Views: 33
Na sheria za Tanzania Bara ni hivyo pia, huwezi kumiliki ardhi kama sio Mtanzania
 
Nadhani ni ile dhana iliyojengeka kuwa ukiishi ughaibuni unakuwa tajiri automatically. Hivyo, hiyo 19,900 USD (45.8 milioni TZS) kwa diaspora sio kubwa.
Aha ha hii dhana potofu maana diaspora wengi njaa kali tu, wachache wenye hiyo 19,900 USD
 
Aha ha hii dhana potofu maana diaspora wengi njaa kali tu, wachache wenye hiyo 19,900 USD
Uko sahihi mkuu, maisha ughaibuni si rahisi kama wengi wanavyokaririshwa.

Ughaibuni wazungu wenyewe hujali ku-save pesa sembuse mwafrika. Utaona mzungu anakusanya makopo ya soda anazokunywa nyumbani na kuyapeleka super market kwa ajili ya recycling ili apate pesa iliyoandikwa kwa kila kopo.
 
Eti affordable prices starting at US$ 19,900.
Haya bwana.
Nadhani ni ile dhana iliyojengeka kuwa ukiishi ughaibuni unakuwa tajiri automatically. Hivyo, hiyo 19,900 USD (45.8 milioni TZS) kwa diaspora sio kubwa.
Aha ha hii dhana potofu maana diaspora wengi njaa kali tu, wachache wenye hiyo 19,900 USD
Wakuu tuwe wakweli. Nyumba zetu tunajenga huku maeneo hayajapimwa zinazidi hio $19,900. Tena humu humu JF ukiwaambia unatak kujenga nyumba kwa 20-30m utaambiwa labda kibanda....sasa inakuwaje tena $19,900 isiwe bei ya kawaida tena makazi yaliyopangwa kama hayo? Tena malipo taratibu.
 
Ni kweli wapo wanaoweza ila ni wachache sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom