Buyaka
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 1,643
- 1,786
Poor African soul. Kwa taarifa yako ardhi iliyokwisha kutumiwa na sisi wazalendo wa kuzaliwa hapa bongo haifikii hata nusu ya ardhi yote yenye kufaa kutumika tangu tupate uhuru.
Tunaiongelea ardhi wakati vichwani mwetu hatuna ubunifu wenye kulingana na ukubwa wa eneo tulilonalo!.
Hata kama bado nusu haijatumika, kwa hiyo tuwagawie Wachina waje kuishi ?
Tuwape diaspora ambao hawakai Tanzania ?
Tunapinga na kulaani.
Watu wanaongezeka, ardhi is finite, hatutagawa bure kwa walioondoka nchini.
Tuna masuala kibao ya kitaifa ya kutatua, we have a full plate of pressing priorities, the last thing we are thinking about is Uraia pacha wa diaspora . Eti ili tuwape ardhi ambayo hawaihitaji kwa sababu hawapo hapa in the first place. Tumerogwa?