Diaspora tunadharaulika sana awamu hii

Tunawashukuru Wana-Diaspora kwa kuchangishana na kupata pesa ya kumsafirisha Marehemu Sanga maiti inakuja saa ngapi tuje kumpokea Airport? (Bila shaka itakuwa Ethiopian Airlines) right?
*** USHAURI: Kuweni na umoja wa kusaidiana na muwe mnachangia angalau kila mwezi ili ukipata matatizo ni rahisi kusaidiana kwa kutoa kwenye mfuko wa umoja, kuliko kuchangishana wakati mwingine watu wanakuwa wamefulia.
 
View attachment 337329 View attachment 337331 View attachment 337328 View attachment 337329 Awamu hii ya 5 imekuja kauli mbiu ya HAPA KAZI TU hata sijui waliitoa wapi hii kitu, haya sasa wameingia madarakani vurugu mechi kila mtu na wake FUKUZA FUKUZA kila kona, ukiangalia watueuliwa wote hakuna Diaspora hata mmoja. Jamani hii nchi ni ya kwetu wote mbona awamu ya 4 walitushirikisha kikamilifu? Hata ukienda Ubalozini (Washington DC) haupati ushirikaiano wa enzi zile za Awamu ya 4 maana kila mtu anatetemeka tu sijui ndo kuogopa fukuza fukuza! Tuajirini sisi Diaspora muone damu mpya na mawazo mapya katika utendaji wa serikalini nchi itanyooka.
Pole sana, kwa sababu upo nje ya nchi ndio maana hujui staili ya kupata ajira hapa tanzania.wenzako wanaanza na kutukana viongozi wa upinzani na kuwatukuza viongozi wa ccm,
 
DICOTA 2016 tujadiliane vitu vya kujenga sio kuonyeshana mavazi na mapaja tu. Yaani inaudhi watu wanasafiri toka wizarani TZ kuja kuangalia mashindano ya mavazi USA
 
Mkuu ni vema kama iwapo watu wa aina hiyo wapo ni vema ukawaweka wazi. Sio vizuri watu wakatumia pesa zetu kwa mambo yasiyo na tija!
 
Diáspora wapo alopfanya kwel la vile Tido,Mhongo hata mkurugenzi wa Bank ya posta!!;we unakuja unataka kujipangia mshahara!!?;achen shudu hzo!!,kukaa nje ya nchi ni mapenzi ni sawa watu hawataki kukaa lbd songea,rukwa,kigoma nk anataka kukaa dar!!;xo hamna mwenye wivu na nyinyi viazi nyie!!
 
View attachment 337329 View attachment 337331 View attachment 337328 View attachment 337329 Awamu hii ya 5 imekuja kauli mbiu ya HAPA KAZI TU hata sijui waliitoa wapi hii kitu, haya sasa wameingia madarakani vurugu mechi kila mtu na wake FUKUZA FUKUZA kila kona, ukiangalia watueuliwa wote hakuna Diaspora hata mmoja. Jamani hii nchi ni ya kwetu wote mbona awamu ya 4 walitushirikisha kikamilifu? Hata ukienda Ubalozini (Washington DC) haupati ushirikaiano wa enzi zile za Awamu ya 4 maana kila mtu anatetemeka tu sijui ndo kuogopa fukuza fukuza! Tuajirini sisi Diaspora muone damu mpya na mawazo mapya katika utendaji wa serikalini nchi itanyooka.
kama diaspora wenyewe ni akina lemutuz na mange kimambi usitegemee respect, hiyo alifanya yuleee type yenu sio maguuu
 
nyinyi ndo wadudu gani mchwa au? n yie si mlikimbia kusoma bongo baada ya kufeli mkaenda kupata elimu za fasta, tumegundua wengine mkiperekwa kusoma hamsomi mnawekwa vimada na wanagereia alafu mnarudi na vyeti feki, mnajiita diaspor, wapi nyie hamnazo, kabsauzen makalio ulaya uko.
 
View attachment 337329 View attachment 337331 View attachment 337328 View attachment 337329 Awamu hii ya 5 imekuja kauli mbiu ya HAPA KAZI TU hata sijui waliitoa wapi hii kitu, haya sasa wameingia madarakani vurugu mechi kila mtu na wake FUKUZA FUKUZA kila kona, ukiangalia watueuliwa wote hakuna Diaspora hata mmoja. Jamani hii nchi ni ya kwetu wote mbona awamu ya 4 walitushirikisha kikamilifu? Hata ukienda Ubalozini (Washington DC) haupati ushirikaiano wa enzi zile za Awamu ya 4 maana kila mtu anatetemeka tu sijui ndo kuogopa fukuza fukuza! Tuajirini sisi Diaspora muone damu mpya na mawazo mapya katika utendaji wa serikalini nchi itanyooka.

inasemekana nyinyi mlitumia kukaa huko kama Cv lakini wameangalia impact ya mchango wenu katika serikali iliyopita haionekani.

ninyi ndio mgekuwa mstari wa mbele kuibadili jamii yetu kwa kutuletea hayo mnayoyaona huko lakini wapi.

badala ya kulalamika toeni mchango wenu mkiwa huko na ndio umuhimu wenu uonekane. tuawasikia mkikutana kufanya sherehe lakini hakuna siku hata moja tumewasikia mkikutana kujadili maendeleo ya nyumbani kwenu na angalau vikao vyenu kutoa ushauri kwa yale mnayoyaona huko.

kwetu huku wakija wageni hawalipi kodi mgetuambia kama na nyie huko hamlipi kodi au mnalipa zaidi ya wenyeji au sawasawa.

yapo mengi ambayo nyine mgekuwa mabalozi lakini watanzania wanasema mmelowea na wale wanaokuja huku wakapewa nafasi mishahara yetu mnaitumia kununulia watoto wenu uraia wahuko na sio kutengeneza huku pawe kama huko.

hii ni changamoto kwenu mjue wakati mnaona mmesahaulika nyumbani na nyumbani wanawashangaa ninyi kuwatupeni. huko mliko yawezekana kunawasaidia ninyi kuona mbali kuliko ndugu zenu hivyo onyesheni jitihada zenu kubadili hali hii ya kutoelewana
 
View attachment 337329 View attachment 337331 View attachment 337328 View attachment 337329 Awamu hii ya 5 imekuja kauli mbiu ya HAPA KAZI TU hata sijui waliitoa wapi hii kitu, haya sasa wameingia madarakani vurugu mechi kila mtu na wake FUKUZA FUKUZA kila kona, ukiangalia watueuliwa wote hakuna Diaspora hata mmoja. Jamani hii nchi ni ya kwetu wote mbona awamu ya 4 walitushirikisha kikamilifu? Hata ukienda Ubalozini (Washington DC) haupati ushirikaiano wa enzi zile za Awamu ya 4 maana kila mtu anatetemeka tu sijui ndo kuogopa fukuza fukuza! Tuajirini sisi Diaspora muone damu mpya na mawazo mapya katika utendaji wa serikalini nchi itanyooka.
Hakuna nchi iliyoendelea itakayompa mhamiaji kazi yenye staha. Wanawaona kama watu mliokimbia kwenu kwa sababu ya shida mbali mbali. Staha na heshima mtaipata katika nchi yenu tu! Kwa hiyo, msifikiri kwamba kwenda kuishi Europe , Australia, America, India au popote kunawapa exceptional competitive advantage, mlichopata ambacho watanzania wengi hawana ni exposure to a different culture. Hiyo peke yake haiwezi kuwafanya mpata upendelo wa kipekee. Kama kuna kiongozi alikuwa anaona kwamba ninyi watu wa diaspora ni wakombozi wa nchi hii alikosea sana. Ninyi ni raia wa kawaida kama walivyo raia wengine
 
Back
Top Bottom