eliasmisinzo
JF-Expert Member
- Aug 13, 2021
- 1,261
- 1,320
Looo, jamaa anasema uko Nangulukuru! Kweli inawezekana, haya MAONI yako yanatoka Nangulukuru hayana kiwango.Angalia walivyochoka najua uwezi kukubali.

PimbiKajinyonge basi
UchochoroPimbi
Alisikia harufu ya bangi kwenye simu yake!Eti Wajamaica. Wewe upo Nangulukuru umejuaje ni Wajamaica?
kaongea kwa mara ya kwanza na kuongea uwongo eti vibrant democracy
Wanaukumbi.
Watanzania wa Diaspora wakisindikizwa na friends of Tanzania waliofika kumpa sapoti Raisi wetu wakati alitoa speech huko UN.
Kuna kikundi cha watu kama watatu inasemekana ni Wajamaica wapewa pesa kubeba mabango ya Mbowe kimehangaika sana kuwarubuni lengo ni kumwondolea Rais Suluhu Samia uhalali wa kuongelea Demokrasia lakini bahati mbaya walikosa uungwaji mkono.
View attachment 1950403
KihorongweUchochoro
UchochoroKihorongwe
Chusuyundundwi mkubwa 🤪🤪🤪Uchochoro
Achen mapambio, SSH, Rais akirudi ,kazi ya kwanza nimuombe afumue fumue , SERIKALI anzia KWa IGP, na wote waliotekeleza MPANGO wa kumpa kesi mh Mbowe , wamemuabisha ,ukiacha nchi,Wanaukumbi.
Watanzania wa Diaspora wakisindikizwa na friends of Tanzania waliofika kumpa sapoti Raisi wetu wakati alitoa speech huko UN.
Kuna kikundi cha watu kama watatu inasemekana ni Wajamaica wapewa pesa kubeba mabango ya Mbowe kimehangaika sana kuwarubuni lengo ni kumwondolea Rais Suluhu Samia uhalali wa kuongelea Demokrasia lakini bahati mbaya walikosa uungwaji mkono.
View attachment 1950403
Short cutChusuyundundwi mkubwa
Wajamaika!!! Hivi huu uzezeta mnasomeaga au kipaji tuu...Wanaukumbi.
Watanzania wa Diaspora wakisindikizwa na friends of Tanzania waliofika kumpa sapoti Raisi wetu wakati alitoa speech huko UN.
Kuna kikundi cha watu kama watatu inasemekana ni Wajamaica wapewa pesa kubeba mabango ya Mbowe kimehangaika sana kuwarubuni lengo ni kumwondolea Rais Suluhu Samia uhalali wa kuongelea Demokrasia lakini bahati mbaya walikosa uungwaji mkono.
View attachment 1950403
acha kuuliza maswali ya kipuuzi.Uongo upi mkuu. Kwani wewe unaelewa Nini kuhusu neno „Demokrasia“
Bhulungwa idahina mkubwaShort cut
MpasukoBhulungwa idahina mkubwa
Filaxhahsua nyengo mkubwaMpasuko
MpasukoFilaxhahsua nyengo mkubwa
Kunywandika libiligililiti lya tyutyu mkubwaMpasuko
Cha woteKunywandika libiligililiti lya tyutyu mkubwa