Diaspora Marekani mmetenda haki kwa Rais Samia, dunia imeona

COMOTANG

JF-Expert Member
Jan 6, 2021
1,727
2,000
Lov
Wanaukumbi.

Watanzania wa Diaspora wakisindikizwa na friends of Tanzania waliofika kumpa sapoti Raisi wetu wakati alitoa speech huko UN.

Kuna kikundi cha watu kama watatu inasemekana ni Wajamaica wapewa pesa kubeba mabango ya Mbowe kimehangaika sana kuwarubuni lengo ni kumwondolea Rais Suluhu Samia uhalali wa kuongelea Demokrasia lakini bahati mbaya walikosa uungwaji mkono.

View attachment 1950403
Loveness Mamuya wenye Chako.
 
Iruru

JF-Expert Member
Jan 27, 2014
927
1,000
Hizi akili zako zinatosha kuonyesha nani kakutuma. Je waliokuja kumpongeza na kupiga naye picha wao hawajalipwa pesa?
Wanaukumbi.

Watanzania wa Diaspora wakisindikizwa na friends of Tanzania waliofika kumpa sapoti Raisi wetu wakati alitoa speech huko UN.

Kuna kikundi cha watu kama watatu inasemekana ni Wajamaica wapewa pesa kubeba mabango ya Mbowe kimehangaika sana kuwarubuni lengo ni kumwondolea Rais Suluhu Samia uhalali wa kuongelea Demokrasia lakini bahati mbaya walikosa uungwaji mkono.

View attachment 1950403
 
4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Dec 8, 2019
2,877

Achen mapambio, SSH, Rais akirudi ,kazi ya kwanza nimuombe afumue fumue , SERIKALI anzia KWa IGP, na wote waliotekeleza MPANGO wa kumpa kesi mh Mbowe , wamemuabisha ,ukiacha nchi,

Alafu likesi hili la ajabu lifutwe, waziri wa Mambo ya ndani apigwe chini fasta ,maana ameshindwa kukaa Kati ya wizara yake na Rais Ili kutoa ushauri KWa manufaa ya taifa ,na bosi wake

Mh Rais fukuza wote hao
 
kirengased

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
4,524
2,000
Wanaukumbi.

Watanzania wa Diaspora wakisindikizwa na friends of Tanzania waliofika kumpa sapoti Raisi wetu wakati alitoa speech huko UN.

Kuna kikundi cha watu kama watatu inasemekana ni Wajamaica wapewa pesa kubeba mabango ya Mbowe kimehangaika sana kuwarubuni lengo ni kumwondolea Rais Suluhu Samia uhalali wa kuongelea Demokrasia lakini bahati mbaya walikosa uungwaji mkono.

View attachment 1950403
Wajamaika!!! Hivi huu uzezeta mnasomeaga au kipaji tuu...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom