Diaspora Acheni Kuaibisha Mbona Nyama Zimejaa Nyumbani?

Jackal

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
9,554
12,665
FB_IMG_1533294564410.jpg
FB_IMG_1533294579338.jpg
 
Ongezea nyama kwenye uzi..
Hao jamaa wameiba??
Au wako kwenye maonyesho??

Au maagu kakaza vyuma hadi mbele
Mkuu ndio maana nikaleta jukwaa la picha halihitaji maelezo.Wamekamatwa wakiiba nyama supermarket!
 
Wakenya hao duh, ngoja atatokea mwanaJF mmoja ataanza kusema kuhusu jiwe ndo kasababisha wakenya kuiba nyama
Mkenya mwingine huyo hapo anaokoa ugali vibanda zikibomolewa:D:D:D
.....
Wakenya tulikosea mungu nini?
Huyu ameamua kuokoa ugali vibanda zikibomolewa.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
FB_IMG_1533300919607.jpg
 
Mkenya mwingine huyo hapo anaokoa ugali vibanda zikibomolewa:D:D:D
.....
Wakenya tulikosea mungu nini?
Huyu ameamua kuokoa ugali vibanda zikibomolewa.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚View attachment 825972
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom