Diana Edward, Miss Tanzania atinga fainali za Beauty with a Purpose Miss World

0130b632c7d2f66c20d0ad2bbe4fedc2.jpg
sijiskii aman kabisa nikiona huu upimaji.Mambo mengine ni bora tu kujulia hukohuko saa yamekukuta kuliko kuyafaham kabla.
 
Kwahiyo kila anayekosoa basi anachuki?? Au hao akina Lundenga ni malaika hawakosei?
Usitumie kichwa kufugia nywele tu...
Ulivyo andika sio ki ukosoaji ni chuki chuki dhahiri, hebu jifunzeni kupenda vya kwenu bana... Mi nahis kuna dadako alikua miongon mwa ma miss kapigwa chini sio kwa Povu hilo!!
 
Documentary yake kuhusu FGM na Early Marriages kwa kabila lao la Kimasai na jinsi alivyoiweka itampaisha sana. Kazi yake iliingia kwenye top 20 na inapewa nafasi kubwa ya kufanya vizuri.

Hiyo ni top 24 ya "Beauty With Purpose".

Nikupongeze kwa kuandika beauty with purpose badala ya beauty with A purpose, naona hata mrembo mwenyewe kachemka, hata ujumbe wake sikuupenda, kauandika kimipasho
 
Back
Top Bottom