Traveller X
JF-Expert Member
- May 2, 2017
- 271
- 305
Nikiangalia na kupitia matukio na misukosuko yote ambayo couple hii imepitia na ukizingatia kua nia ma staa ambao kila siku hawaachi kuongelewa kwa ubaya na uzuri pia nadiriki kusema kua hii ndio celeb couple of the year kwa afrika na hata duniani kwa ujumla, Najua mtapinga lakini huo ndio ukweli mchungu kwamba wapendanao hawa wameweza kuyashinda majaribu yote yaliyo na yanayojitokeza kila siku katika maisha yao ya mahusiano, Nawapa hongera sana.
Couple nyingine kutoka Bongo ambazo nazipa credit ya kua couple bora ni pamoja na Aika na Nahreel, hawa nawapa credit kwa kua couple tulivu na isyopenda kiki.
Couple nyingine kutoka Bongo ambazo nazipa credit ya kua couple bora ni pamoja na Aika na Nahreel, hawa nawapa credit kwa kua couple tulivu na isyopenda kiki.