Diamond & zari best couple ya mwaka afrika na duniani 2017

Traveller X

JF-Expert Member
May 2, 2017
271
305
Nikiangalia na kupitia matukio na misukosuko yote ambayo couple hii imepitia na ukizingatia kua nia ma staa ambao kila siku hawaachi kuongelewa kwa ubaya na uzuri pia nadiriki kusema kua hii ndio celeb couple of the year kwa afrika na hata duniani kwa ujumla, Najua mtapinga lakini huo ndio ukweli mchungu kwamba wapendanao hawa wameweza kuyashinda majaribu yote yaliyo na yanayojitokeza kila siku katika maisha yao ya mahusiano, Nawapa hongera sana.

Couple nyingine kutoka Bongo ambazo nazipa credit ya kua couple bora ni pamoja na Aika na Nahreel, hawa nawapa credit kwa kua couple tulivu na isyopenda kiki.
 
Best couple ni mie na JF pamoja na kwamba hatujafikisha mwaka ila imenipatia likes za kutosha:D:D:D:D
 
Nikiangalia na kupitia matukio na misukosuko yote ambayo couple hii imepitia na ukizingatia kua nia ma staa ambao kila siku hawaachi kuongelewa kwa ubaya na uzuri pia nadiriki kusema kua hii ndio celeb couple of the year kwa afrika na hata duniani kwa ujumla, Najua mtapinga lakini huo ndio ukweli mchungu kwamba wapendanao hawa wameweza kuyashinda majaribu yote yaliyo na yanayojitokeza kila siku katika maisha yao ya mahusiano, Nawapa hongera sana.

Couple nyingine kutoka Bongo ambazo nazipa credit ya kua couple bora ni pamoja na Aika na Nahreel, hawa nawapa credit kwa kua couple tulivu na isyopenda kiki.

What? Africa na dunia? Stupid. Unamkana hata wife wako!
 
Kuna huyu mwingine ye kafungua kesi ika akifanikisha hilo zoezi chukulia na majay nae natia chambi
 
Back
Top Bottom