Diamond: Zari alikuwa anachepuka na Peter wa P Square

Madimba jr

JF-Expert Member
Aug 12, 2017
1,577
3,143
Amesema Diamond kwenye kipindi cha Block 89 wasafi Fm.
2019-04-23_22.37.18.jpg
Screenshot_20190423-224143.png
Screenshot_20190423-224233.png
 
Tunasikia mengi sana watu wanapoachana ila asilimia kubwa kutoka kwa mwanamke. This time kwa kuwa ni mwanaume kasema na wanajuana na kina P Square kutakuwa na ukweli hapa.

Mwanaume kufunguka issue za kifamilia sio rahisi ila anapoamua kusema basi kutakuwa na ukweli hapo.
Diamond ana kifua sana aisee,kaishi kwa machungu muda wote huo kumbe alikua anamegewa hahahah
 
Kama hana la kuongea anyamaze.. kwa sababu alisapoti mziki wa P square wakati wenzake wametoa alizoshiriki ndio anaongea upuuzi huo.. kisa kiki ya mziki.. huyu hamjui Zari.. walikutana Madale au Tandale alipowakutanisha??

Ua jeusi halijamuacha salama chati imepungua.. asali apande tena.
 
Kama hana la kuongea anyamaze.. kwa sababu alisapoti mziki wa P square wakati wenzake wametoa alizoshiriki ndio anaongea upuuzi huo.. kisa kiki ya mziki.. huyu hamjui Zari.. walikitania Madale au Tandale alipowakutanisha??

Ua jeusi halijamuacha salama chati imepungua.. asali apande tena.
mbona hueleweki ulichoandika? usipanic sana mama,mapenzi yalikua yao wenyewe
 
Back
Top Bottom