Madimba jr
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 1,577
- 3,143
Amesema Diamond kwenye kipindi cha Block 89 wasafi Fm.
Diamond ana kifua sana aisee,kaishi kwa machungu muda wote huo kumbe alikua anamegewa hahahahTunasikia mengi sana watu wanapoachana ila asilimia kubwa kutoka kwa mwanamke. This time kwa kuwa ni mwanaume kasema na wanajuana na kina P Square kutakuwa na ukweli hapa.
Mwanaume kufunguka issue za kifamilia sio rahisi ila anapoamua kusema basi kutakuwa na ukweli hapo.
Nilitaka kushangaa kweli Mond asipigiwe kweli maana yule mwanamke anaonekana kabisa hajatuliaHahaha ila yule trainer watu wengi walisema
Hahaha ila yule trainer watu wengi walisema
mbona hueleweki ulichoandika? usipanic sana mama,mapenzi yalikua yao wenyeweKama hana la kuongea anyamaze.. kwa sababu alisapoti mziki wa P square wakati wenzake wametoa alizoshiriki ndio anaongea upuuzi huo.. kisa kiki ya mziki.. huyu hamjui Zari.. walikitania Madale au Tandale alipowakutanisha??
Ua jeusi halijamuacha salama chati imepungua.. asali apande tena.
Mapenzi yanauma,kumegewa kunauma zaidi hahahahahaaHii njia anayotumia ku-promote hiyo radio sioni kama hiko njema.
Anagaka hii statement iwe viral.
Haya bhana.
mbona hueleweki ulichoandika? usipanic sana mama,mapenzi yalikua yao wenyewe
Kama hana la kuongea anyamaze.. kwa sababu alisapoti mziki wa P square wakati wenzake wametoa alizoshiriki ndio anaongea upuuzi huo.. kisa kiki ya mziki.. huyu hamjui Zari.. walikitania Madale au Tandale alipowakutanisha??
Ua jeusi halijamuacha salama chati imepungua.. asali apande tena.