Diamond Vs P square Youtube

AlphaPii

JF-Expert Member
May 15, 2015
1,160
1,837
Mpaka sasa BANK ALERT ya P SQUARE imetazamwa mara 702,019 kwa SIKU TATU(three days ago) wakati SALOME ya DIAMOND imetazamwa mara 655,513 kwa SIKU MOJA(one day ago)....inawezekana ikifikisha siku tatu itakuwa ni 1.5M.
Youtube haidanganyi ukitazama unahesabika!!!
 
alooo umeusikiliza huu wimbo vizuri ndugu yangu?mi toka jana sichomoki youtube,duh kila mtu na mtazamo wake.
"mi toka jana sichomoki youtube"!!!!!!!watu kama wewe ndo mnafanya viewers wafike laki sita maana kama wewe tu peke yako kwa hyo siku nzima ambayo umesema hujachokoma pengine umefanya views ziwe 100
 
wimbo wa mwisho wa diamond kuwa na viwer weni ni nana aliomshirikisha mr flavour
Nilichogundua Unajitia ujuaji mwingi kumbe bogazi.
Kaangalie my nomber one na Nana ni ipi ina views wengi.
Sio kila uzi utie comment uzi mwingine pita tu,iatasaidia kuficha ukilaza wako na roho mbaya yako na wivu kwa mwanaume mwenzio.
 
"mi toka jana sichomoki youtube"!!!!!!!watu kama wewe ndo mnafanya viewers wafike laki sita maana kama wewe tu peke yako kwa hyo siku nzima ambayo umesema hujachokoma pengine umefanya views ziwe 100
Haiko hivyo mkuu...
Ukiitazama mara ya kwanza video ya youtube hata urudie mara mia inahesabiwa umeview mara moja tu...
Hiyo ni ndani ya masaa 24..!
Mwisho: Mtu MWEUPE ana AKILI sana mkuu!!!
 
Back
Top Bottom