Safi sana kijana Nasibu.haya ndiyo mapinduzi ya Mziki..na wewe ndiyo kiwanda cha mziki Tanzania..Hongera sana. Kimataifa zaidi..
ukiona lugha inakusumbua kwa hii ngoma basi msubili Lavalava anakuja na ngoma ya kiswahili..au kasikilizeni sikomi..
Kimataifa zaidi..
Diamond Platnumz ft Rick Ross
haya sasa sijui watakimbilia wapi mwaka huu.