Diamond umetisha sana. Video is out, Diamond Platnumz ft Rick Ross

chipa GM

JF-Expert Member
Jan 21, 2012
1,768
2,861
Safi sana kijana Nasibu.haya ndiyo mapinduzi ya Mziki..na wewe ndiyo kiwanda cha mziki Tanzania..Hongera sana. Kimataifa zaidi..
ukiona lugha inakusumbua kwa hii ngoma basi msubili Lavalava anakuja na ngoma ya kiswahili..au kasikilizeni sikomi..
Kimataifa zaidi..

Diamond Platnumz ft Rick Ross

haya sasa sijui watakimbilia wapi mwaka huu.
 
mimi ngoja nikaangalie good music 'maumivu/day'
Mbona mnapenda kutapisha watu aisee

Hebu nendeni mkauze mitumba kkoo,maana mkiambiwa bila kiki hamtoboi mnabisha.sasa unakuja oooohh maumivu sijui ya kichwa au ya mguu
 
:D:D:D:D:D:D

Hebu nendeni mkauze mitumba kkoo,maana mkiambiwa bila kiki hamtoboi mnabisha.sasa unakuja oooohh maumivu sijui ya kichwa au ya mguu[/QUOTE]
:D
 
Safi sana kijana Nasibu.haya ndiyo mapinduzi ya Mziki..na wewe ndiyo kiwanda cha mziki Tanzania..Hongera sana. Kimataifa zaidi..
ukiona lugha inakusumbua kwa hii ngoma basi msubili Lavalava anakuja na ngoma ya kiswahili..au kasikilizeni sikomi..
Kimataifa zaidi..

Diamond Platnumz ft Rick Ross

haya sasa sijui watakimbilia wapi mwaka huu.

NAWASUBIRI BASATA NA ULOKOLE WAOOOO..KUNA MDADA YUPO FULL NAKED TAKO LINAACHAMA DUU
 
Back
Top Bottom