Diamond umetisha sana. Video is out, Diamond Platnumz ft Rick Ross

Ila mimi nimeitazama katika angle nyingine kabisa mbona kama imejawa na matangazo ya kile kinywaji kinachosemekana ni cha mr. Rick rose,...
=====
Halafu huyo rick ROSE mama yake ni baba?,sijalielewa jina lake
 
Aisee...jf kumevurugwa...mama yake ni baba??????
 
hatari sana humo
Yani sikuwa hata na hamu ya kutazama wala kusikiliza huu wimbo lakini nimetazama video aisee audio na video next level jamaa anajua.
Nimemuona victoria kimani ndani humo.
Mond anajiamini sana aiseee salute
 
Ila mimi nimeitazama katika angle nyingine kabisa mbona kama imejawa na matangazo ya kile kinywaji kinachosemekana ni cha mr. Rick rose,...
=====
Halafu huyo rick ROSE mama yake ni baba?,sijalielewa jina lake
Luc Belaire Rare Rosé Kinatengenezwa Ufaransa lakini kinamilikiwa na kampuni ya Kimarekani ya Sovereign brands ila Rick Ross and Dj Khalid inasemakana wana hisa pia
 
Sijaona kipya zaidi ya matangazo ya kinywaji belaire ....
 
Ila mimi nimeitazama katika angle nyingine kabisa mbona kama imejawa na matangazo ya kile kinywaji kinachosemekana ni cha mr. Rick rose,...
=====
Halafu huyo rick ROSE mama yake ni baba?,sijalielewa jina lake
Kwanza sio rick rose bi rick ross halafu ni jina la kisanii baada ya kulicopy kwa aliyekuwa muuza madawa maarufu ajulikanaye kama Ricky Donnell "Freeway Rick" Ross
 
Huyu jamaaa bana,, kuja haja ya kusimamisha sanamu kutambua mchango wake wakulitangaza taifa.

Nihaki yako mkuuu ,,vibinti kutamu kuliwa tu angalau naww.
 
Back
Top Bottom