Diamond umetisha sana. Video is out, Diamond Platnumz ft Rick Ross

aisee... nimeona mambo ya ajabu na kutisha kha! lile wowooo limevaa bikini, alafu lina nyambuka tuu kha! litakua tamu na nyama yake
 
Moja ya kazi mbovu kabisa kuwahi kutolewa na Diamond!

Video haina maadili kabisa, itakuwa nadra sana kupigwa na vituo local vya TV mida ya mchana.
 
Naona lyrics za wote wawili zimejikita katika kusifia hiyo pombe tu. Ni tangazo zaidi.
 
Moja ya kazi mbovu kabisa kuwahi kutolewa na Diamond!

Video haina maadili kabisa, itakuwa nadra sana kupigwa na vituo local vya TV mida ya mchana.
Kama Eatv na Clouds media hawawezi ila watapiga za Nick minaj na Rihhana.
 
Haters gonna hate but the video is Dope, kudos to Mondi aendelee kulitangaza Taifa tena naskia Rick Ross kasaini ipigwe marekani hii ni breakthrough kubwa sana
 
Ila mimi nimeitazama katika angle nyingine kabisa mbona kama imejawa na matangazo ya kile kinywaji kinachosemekana ni cha mr. Rick rose,...
=====
Halafu huyo rick ROSE mama yake ni baba?,sijalielewa jina lake
Ross not Rose.
 
Back
Top Bottom