Diamond & Tanasha wamekopi kuanzia audio mpaka video

Sanaa ni pamoja na kukopy na kupaste tunaweza kuwaweka kwenye kundi la msanii maarufu dunian kwa kukopy nyimbo na nyimbo ikahit hana tofauti na lile kundi la Pentatonix wao wanafanya cover na kuzunguka dunian kufanya show na wanamashabiki wakutosha wakitoa wimbo ukichek view ni fasta 1m
 
Huyo mwanamziki uliyeweka kwamba kaibiwa mawazo ya video, amekiri kuwasiliana na Diamond na kukubaliana atumie hiyo Idea ya hiko kijumba. Napo ni kosa? Na hizo audio unazosema zimeigwa ndugu yangu, mbona mahusiano hamna?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom